@babyz7298:

BLACKBERRY 🐦‍⬛
BLACKBERRY 🐦‍⬛
Open In TikTok:
Region: PK
Monday 13 July 2026 16:30:30 GMT
84599
7890
203
425

Music

Download

Comments

islamuddin5053
Islam Uddin :
so beautiful
2026-07-15 11:13:26
0
sipolsupir1_8
p. sipol :
Hi honey
2026-07-15 12:46:13
0
wandicrypto2
wandi Atad :
oohhhhhh
2026-07-14 12:10:23
0
user03022919mushtaque
مشتا ق احمد اتيرو :
gorgeous
2026-07-13 18:47:09
4
jorgoduka
ok :
2026-07-15 09:04:16
1
perparimdiko333
perparim :
ej mashalla ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2026-07-15 09:54:46
0
esthrollaturner
Esthrolla Turner :
nice
2026-07-15 00:36:42
2
us80752
us :
2026-07-15 02:18:49
1
njeri.thjesht0
Njeri Thjesht :
MASHA ALLAH 👌❤️❤️❤️🍉🍉🍉🍉🌹🌹🌹🌹💖💖💖💖💖💖💖💖💯💋💋💋💋💋💋💋💋💋
2026-07-15 01:49:55
1
qasid.khan701
👀Qasid khan😈 :
superback
2026-07-14 14:05:48
2
ghulamnabikhaskhel
user [email protected] :
Nice 👍👍👍👍
2026-07-15 10:29:29
0
reatnasan
طير الحر النعيمي :
2026-07-15 08:57:51
0
perparimdiko333
perparim :
super sejsi je ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️💋💋💋💋💋💋💋💋💋
2026-07-15 09:55:06
0
allah.bakhsh6529
malhavis2 :
💋
2026-07-15 07:29:41
0
ibrahim_i067
إبراهيم عزالدين :
🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2026-07-15 06:54:41
0
allah.bakhsh6529
malhavis2 :
💞
2026-07-15 07:29:44
0
mahmoudazaro8
Azaroo :
2026-07-15 12:07:42
0
allah.bakhsh6529
malhavis2 :
🤲
2026-07-15 07:29:48
0
refat.shaheen1
Refat💕zakir1 :
♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️befu
2026-07-15 07:02:42
0
user6984081742154
سیلم :
❤️❤️❤️❤️👌👌
2026-07-13 16:38:17
0
To see more videos from user @babyz7298, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

Biashara ndogondogo zinazoweza kukupa faida nzuri haraka ukizifanya vizuri ni hizi: 1.	M-Pesa/Tigo Pesa/Airtel Money Unahitaji kibanda kidogo au sehemu yenye watu wengi. Faida unatoka kwenye miamala ya kutoa na kutuma pesa kila siku. Mtaji unaweza kuanzia laki 3–10 kutegemea eneo. 	2.	Chipsi, mayai na mishkaki Biashara yenye wateja wengi hasa jioni. Unaweza kuanzia nyumbani au stand za bodaboda. Faida ni kubwa ukinunua viazi na mafuta kwa jumla. 	3.	Simu accessories Uza charger, cover, earphones na protector. Vitu hivi vina mtaji mdogo lakini faida yake huwa kubwa sana kwa kila bidhaa. 	4.	Mitumba ya nguo au viatu Nunua bale ndogo au chagua sokoni kwa jumla kisha uza rejareja. Ukijua kuchagua nguo nzuri unaweza kupata faida kubwa haraka. 	5.	Perfume na cosmetics Perfume ndogo ndogo hupendwa sana hasa kwa vijana. Unaweza kuuza online kupitia WhatsApp na Instagram bila hata kuwa na duka. 	6.	Matunda na juice Nunua matunda asubuhi kwa jumla sokoni kisha uza maeneo yenye watu wengi. Juice safi huvutia sana kipindi cha joto. 	7.	Popcorn na karanga Mashine ndogo ya popcorn inaweza kuanzia mtaji mdogo. Faida yake ni nzuri kwa sababu mahindi na karanga si ghali sana. 	8.	Vocha na bundles Biashara rahisi kuanzia. Watu hununua muda wote, hasa karibu na shule, vyuo au vituo vya daladala. 	9.	Maandazi, chapati na chai Asubuhi watu wengi wanahitaji kifungua kinywa cha haraka. Ukipika vizuri unaweza kupata wateja wa kudumu kila siku. 	10.	Dagaa, samaki au kuku wa kukaanga Chakula kinauzika sana maeneo ya uswazi na stendi. Ukiwa na ladha nzuri wateja huongezeka haraka. 	11.	Delivery kwa bodaboda Kama una bodaboda au baiskeli unaweza kusafirisha chakula, parcels au bidhaa za madukani kwa malipo. 	12.	Printing na photocopy Karibu na shule au chuo biashara hii inalipa. Unaweza kuongeza huduma za typing, scanning na passport photo. 	13.	Kilimo cha mboga za haraka Mchicha, matembele na lettuce hukua haraka ndani ya wiki chache. Ukiwa na sehemu ndogo na maji unaweza kuingiza hela kila wiki. 	14.	Uuzaji wa vinywaji baridi na maji Friji moja tu inaweza kuanza biashara. Faida hutokana na mzunguko mkubwa hasa kipindi cha joto. 	15.	Biashara ya mtandaoni (online) Unaweza kuuza bidhaa bila duka kwa kutumia WhatsApp, TikTok au Facebook. Unapost picha, ukipata mteja ndio unanunua bidhaa kwa supplier. Mungu awabariki wote wanaonisupport ❤️”

About