@silvenchyy: TUZUOEEE HELA BASI😂💔#creatorsearchinsights #tanzaniatiktok🇹🇿 #ticktockkenya🇰🇪🇰🇪 #swahilitiktok

silverr🤩
silverr🤩
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 13 July 2026 16:36:16 GMT
94951
8023
498
1564

Music

Download

Comments

gracare_litter_ones
GRACARE LITTLE ONES :
Mtu anapewa 100000 anafunga maombi ya Kuomba kuolewa
2026-07-14 11:46:43
302
llizzy39
Lizzy 🩷 :
Ukisikiliza ushauri wa mtandaoni utachanganyikiwa sana😂😂😂
2026-07-20 11:06:57
185
_mspriscyy
mspricilla🥰🌹 :
Elf50 sio pesa ya kutumiwa na mpenzi jamani ni bora ubaki single tu😂
2026-07-14 12:00:39
142
yoneeer24
yoneeer24 :
hao wanao tuma elf 20 wako wapi💔😭
2026-07-14 10:54:20
82
cutermarry
🤍Charming Mbeya🩷🌺 :
mimi nae sijui nakasoroo gani sipewagii ela😫😫😭
2026-07-14 12:56:14
37
tinnahfe
tinnahfe :
mimi nikajua labda mimi ndonna shetenii lakupenda hela😂😂😂 kumbenipo sawa kabisaa🙏🏽😂🙌🏽
2026-07-14 11:31:11
27
rachaelmwita118
❣️💓Am rachael🥰💞 :
mim wangu Jana kanipa 6000 baraka nilizompa mpaka kaanza kucheka na naridhka😂😂
2026-08-06 15:45:48
19
witie21
lucky 🌹 :
nitumie mm uone
2026-07-14 17:08:19
11
bii.gii0
abii🥰fei... :
me elf 3 tuu ya kuban nywel natk anioe
2026-07-14 14:14:34
16
elizabethalex6
Elizabeth Alex :
akinilipia tu boda boda naenda kutangaza ITV kwenye hawavumi lakin wamo
2026-07-15 07:14:43
21
phascent_glowhub
phascents_Glowhub :
ngoja nihesabu alizonitumia sa hv😂😁
2026-07-14 08:38:26
10
minax029
Min🌸ax store🛍️ :
Komaa😅😅
2026-07-14 15:36:58
6
miriamneneka
Milly :
Kila mtu anajikuna anapo jiweza babu
2026-07-15 12:42:33
15
shkiky0
SHUU..BEBE🦋❤️ :
kuna wengine hata elfu 2 hawapewi
2026-07-25 17:34:47
5
user8006191124212
Jannelle Mbolea& fashion beaut :
nimeomba 10k nikasema Kuna kitu nanunua nimepungukiwa yeye akanijibu nimepungukiwa piya dear🤣🤣🤣 nimechoka afu nilikuwa namjaribu simuombagi Hela mimi🤣
2026-08-06 09:39:46
9
doreenkefa
doreenkefa :
Ongeza saut 😂
2026-07-14 09:22:56
6
jaynahmadeal
💦Last Cancer ♋️ :
M hata akntumia 20k nafunga nakusali.!😁😂🙌
2026-08-06 16:26:58
5
mariym505
Ms mary🥰 :
tunazoea akiwa ametuzoesha nani kaka🤣🤣🤣
2026-07-14 16:35:56
6
llizy87
llizy🤍🌸 :
Yan nimefika stej hata nkipewa Milion natamani niseme haitoshi venye ninashida na pesa🤌🥹😂😂🙌
2026-07-21 08:37:52
8
justeve53
justEve :
we bro.. unaijua kausha damu ww 🤣🤣🤣🤣
2026-07-14 08:38:12
11
user473019102537
💕wabal💕 :
kunywa soda niliambiwa ningikuwa sikupend ningikutumia laki moja🤣Sasa laki ndio upendo 🤣
2026-07-14 10:02:46
9
kyla71577
🌸☘️🌸 :
na sie tunaopewa elf 5 tunasemaje
2026-08-06 09:21:21
0
pricillah21
pryscillah🫧 :
ndo nimetoka kutumiwa elf 2 izo Barak nilizompa aib naon mm
2026-08-08 00:36:44
1
20mayrah
FLORAH🦋 🦋 :
Sion wanaume hapa kwa comment😂
2026-08-15 18:26:20
1
oliverelirehema
Oliver 🌺 :
Kwanini lakini
2026-07-20 07:40:05
3
To see more videos from user @silvenchyy, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About