Sio kweli mzee hawa wa leo ni fake hata wamisri wz leo sio wa kwenye biblia.Mzee umekariri.
2026-07-14 16:06:41
13
sam kyando :
Acha uwongo!
2026-07-14 07:06:07
5
Benjamin Peter :
Upo sahihi kabisa mtumishi 👍👍👍
2026-07-14 08:49:42
11
M H G P🇹🇿 :
ambao wapo kimaslai ni marekani si Israel wanapigana kwajili yakujilinda si kwa masirai Israel ipo kwajili yakujilinda
2026-07-14 09:04:19
2
shyone875 :
Mihemko yetu ndio inatufanya tudhani zile vita ni za kidini,zile vita zipo ki maslahi zaidi kuliko wafia dini wanavyodhani
2026-07-14 07:21:23
6
vice23 :
mzee anaongea point asikilizwe
2026-07-14 16:17:46
5
wahid123 :
hapana hao israel wa leo sio wale wa zamani mm pia nimekaa huko
2026-07-14 18:54:09
2
RUBIMO-TECH ENTERPRISE :
nimefuatilia wachambuzi wengi lakini wewe ndiye uko na ukweli wote
2026-07-16 13:20:46
7
Rajabu Hatibu :
historia ya Israel ni watu waliokaribishwa kukaa hapo palestina
2026-07-14 19:22:37
1
adilly1234 :
Sasa kam israel ya leo siyo ile na egypt siyo ile ile au 🤣😂
2026-07-14 11:29:59
3
Bin Osman :
naona mungu ana mtoto ana mke ana nchi hiii nimaaajabu😁😁
2026-07-14 09:54:09
1
Furaha Budaga :
Elimu yako mtumishi ni kubwa nimejifunza vizuli mwisho nasema ubarikiwe
2026-07-17 08:01:05
3
MidnightCry (Mat. 25:6) :
Mungu akubbarik sana kwa marifa iyo..
2026-07-14 13:10:40
2
Hesbon Shitandi :
muchungaji Yuko sawa
2026-07-14 17:53:28
1
Theinnovator21 :
Ni makosa kusema Israeli haijawahi kuishambulia Iraq. Tarehe 7 Juni 1981, Israeli ilifanya shambulio la anga lililojulikana kama Operation Opera, na kuharibu kinu cha nyuklia cha Osirak karibu na Baghdad. Israeli ilisema ilifanya hivyo kuzuia utawala wa Saddam Hussein kupata uwezo wa kutengeneza silaha za nyuklia. Hili ni tukio la kihistoria linalojulikana na kuthibitishwa vizuri. Pia, katika miaka ya hivi karibuni kumekuwa na taarifa za mashambulizi dhidi ya malengo yanayohusishwa na wanamgambo wanaoungwa mkono na Iran ndani ya Iraq.
2026-07-16 16:40:58
2
Mizambwa@5 :
katika quran hakuna hata eneo linalowakilisha palestina zaid ya Israeli
2026-07-17 18:55:57
1
Noel Paul :
kila mtu anasema vyake ila mimi nasema vita ni vita muraa
2026-07-14 09:58:59
4
Yaredi mtokambali28 :
Akili kubwa
2026-07-14 17:09:34
0
micmc366 :
hujui ukweli ww
2026-07-14 07:35:00
1
M :
huyo hajui anasema nini
2026-07-14 06:32:26
1
user2257652837180 :
naomba namba yako ya simu mtumishi
2026-07-19 19:28:36
0
Benie🔅 :
ukimsikiliza mtumishi bila sikio la udini, Kuna elimu ya Bure utaipata🙏🙏
2026-07-17 19:47:19
0
Y mariki :
waisraeli ni sisi waafrika baadhi hata misri walikuwa waafrika
2026-07-26 14:53:06
0
Shadary :
nani anawapa airtime
2026-07-25 11:13:54
0
piucy ladislaus :
hiyo unayoijua wewe ni ipi
2026-07-14 07:41:04
0
To see more videos from user @penielphilemontak, please go to the Tikwm
homepage.