kweli kabisa wengi huwa tukiachana tunajenga uadui lakini tujifunze mahusiano ni sawa na utafutaji sio kila unacho waza kukimiliki unaweza miliki hapana hivo hata mapenzi yakifika mwisho shukulu na maisha yaendelee ivo
2026-07-14 08:03:21
2
baliki bm :
kwel ban ila wew sijuwi kama unayo 😅😅
2026-07-13 18:15:19
1
Joo7_comedie :
Umeongea bonge ya point,chukua soda ya baridi bills on me