Pumzika kwa Amani Baba Yangu😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 waombeeni baba zenu waishi miaka mingi yenye heri duniani🙏🏽
2026-07-13 19:36:18
358
Rachel collection :
samahani baba silivesta et umeowa?
2026-07-13 19:47:05
126
Niver Gwishi :
Ww baba ako kakutaliaa nn mahi wangu😅😅
2026-07-13 18:43:14
83
user6594018617143 :
nani ameoa kwenye familia hiyo nahisi mahari ya bi harusi ni kwilioni tano
2026-07-14 07:57:04
75
Pascalsax98 :
Me nawakumbusha tyu hospital kuna watu wanaumwa sana wengn hawana ata bill ya matibabu wanakosa aman ya moyo katik nasf zao wamepoteza Iman ya kuish katik hi Dunia wanaitaj faraja
2026-07-14 07:24:55
40
aggy tz :
me baba angu ata ef Tano hakunipa kwenye send off yangu ..ila nampenda sana mshua wangu Alikua Hana tu
2026-07-13 21:25:21
92
Ammy Gunda :
bi harusi ana heshima sana hana bwebwe🥰🥰
2026-07-13 18:48:32
99
Pharm Paul :
mungu saidia odds zangu zitiki siku moja
2026-07-14 05:22:01
22
@triphniajovini1 :
kila mwenye pesa, anasiri yakee moyoni.USTAMANI MAISHA YA MTU
2026-07-14 14:18:02
27
TeeMeela🌹🦋 :
Wale wa aviator mlike apa😩😩
2026-07-13 19:41:08
35
Williams Wafula :
Mc hongera umajua kurudisha mtu kwenye Mood🥰
2026-07-13 19:14:51
42
Isaya Fundi umeme 🔨 :
Mc ni mnyama sana
2026-07-13 19:11:33
26
neyzer349 :
huyu dad anaongea kistaarabu sana 🙌🙌❤️ikawe kheri kweny safari yake ya ndoa ♥️
2026-07-13 20:10:39
24
N-a-a-h❤️ :
Mungu aendelee kukulaza mahali pema baba angu😭😭😭😭😭
2026-07-14 06:10:33
8
peacelove :
Asante mungu kwa uhai huu ni zaidi ya billion nani mwingine anashukulu mungu kwa uhai huu 🥰
2026-07-15 06:04:51
6
momo kishepu😍 :
Mwanangu ataitwa silyvester maybe atakua na hela kama hizi 😂😂😂😂
2026-07-14 07:46:10
17
Shuby Bakama :
baba angu😭😭😭mung akurehemu.. pia baba ako mungu ampe maisha marefu
2026-07-13 19:41:58
18
mom p 🌹 :
kwann sumbawanga jmn cjapenda kabisa
2026-07-14 07:18:25
4
khadijahajji406 :
natamani na mm ningelelewa na baba ila asante Mungu napumua
2026-07-13 19:09:00
36
DIVINEJACKYruxury🦋 :
aah utajua mwenyewe
2026-07-13 19:27:15
12
zulekha2509 :
mc is qualified✅
2026-07-13 18:47:58
30
shaniter loveran :
Pumzika kwa Amani babaa yangu kipenzi,rafiki yangu yangu mwanao nakupenda sana na nakuombea Kila cku
2026-07-13 19:52:11
8
To see more videos from user @bongo_media, please go to the Tikwm
homepage.