Me nawakumbusha tyu hospital kuna watu wanaumwa sana wengn hawana ata bill ya matibabu wanakosa aman ya moyo katik nasf zao wamepoteza Iman ya kuish katik hi Dunia wanaitaj faraja
binadamu tunge juwa kunakufa aya masifa tusinge yafanya kunawatu wanapitia magumu sana hizo pesa simpeleke kwenye vituo vya watoto yatima jamani hiii dunia nidogo sana
2026-07-14 11:50:55
26
hellensalugag :
wasukuma tuko marefu na pesa ipo na haturigi🥰🥰
2026-07-13 19:05:13
26
MADAME DOTHY :
kwani hii si ilikatazwa na serikali,au
2026-07-14 08:33:59
26
Glory _store :
hivi jamani nauli mpaka katoro bei gani?
2026-07-15 06:24:37
15
mtoto wa katoro💥 :
Na TV ya Katoro teyar ishatoka😅
2026-07-15 10:04:58
4
Mrs sadick :
izonikafara jamani msiingie tamaa pesa nakilakitu nimali yabwana mshukuru mungu kwaulichonacho izopesa wanasiri nazo kamaunajua ugumu wqpesa lazima utaihesim pesa kama unavyomuheshim mungu nawazaz wasitutamanishe hatujui wamepatavipi hatakama ndomadin nooooo
2026-07-14 09:44:41
11
Shamila Iddy :
ukikulia kwenye hela raha sana bb harusi wala hastuki jmn
2026-07-15 05:42:40
6
The girl you know💦 :
Mtu wa katoro mmoja tu mie aje tuzungumze
2026-07-14 07:42:36
8
Glory Beauty :
mali na vyote ni mali ya bwana na tutapita na kuiache msisahau kumtumikia mungu leo uko hapo kesho utakuwa wapi starehe za hapa duniani ni za muda tu jmn msimsahau na kumtolea mungu
2026-07-14 08:13:06
14
martha :
mtaachana tuh,
2026-07-14 12:08:53
11
Gee :
pesa zina siri nyingi Sanaa.... msitaman
2026-07-15 08:25:05
3
Loii :
Ni dolla au elfu 5
2026-07-14 05:58:17
11
josecollection :
Mungu awajalie ndoa yenye amani na upendo.
2026-07-14 05:10:24
16
Agnes Faustine :
wasukuma tujuwane
2026-07-14 10:30:35
5
zuuh🥀🌹 :
natafuta rafiki wa kwenda nae katoroo
2026-07-14 10:47:37
6
G'mumus :
wacha niache tamaa mana sijuh wanakozipata.
2026-07-14 17:46:10
2
Catherine willium :
mtaachana tu
2026-07-15 07:56:32
1
Erene :
najiunganisha na balaka iz mungu nione n mm
2026-07-14 10:16:32
0
Mary royal😍 :
😂😂nachekelea uku nawaza ntafikaje katoro
2026-07-15 10:43:58
4
To see more videos from user @katorotv, please go to the Tikwm
homepage.