@abuumanaahil: MKE NA SIMU NINI BORA?

ABUU MANAAHIL
ABUU MANAAHIL
Open In TikTok:
Region: KE
Monday 13 July 2026 18:07:42 GMT
79633
4687
163
1260

Music

Download

Comments

mwanahamisi.juma6
Mwanahamisi Juma :
heeeeeeee
2026-07-14 08:05:23
2
alisayyid10
Ali sayyid :
and vice versa
2026-07-14 07:17:19
4
ashaqueenashaq345
aisha :
kuna wangu mm mpk saa tisa usiku yuko bz unalala unashtuka yuko bz
2026-07-14 12:23:23
13
mamourhussein
lala :
tabiya za Mme wangu inani fanya niliye kabisa 🥺🥺
2026-07-14 10:08:57
18
chioma.chioma70
@chioma❤️ :
mm wangu hadi nimechoka mambo ya kesi nimejikalia kimya t unakuta mt naongea nae anajifanya hasikii yy ni sm t nikiandaa chakula alanhuku achezea sm mda wwte ni sm nikilalamikq nqgombezwa matusi aniambia eti ananichukia yote sababu ni sm nimechoka mno🥺🥺
2026-07-14 19:55:20
9
momy.aley7
Momy Aley :
huyu ni mume wqngu kabisa
2026-07-14 12:14:54
5
user332237233101548
mwana iddy :
kwer kabisa wanaume wanashindwa kuwatimizia haki zaowake zao kisa cm
2026-07-14 09:32:31
9
yuu.mrembo
baby girl ❤❤ :
yaani umezungumza allah akulipe
2026-07-14 17:39:07
3
queen.rahma91
queen rahma :
Sitaolew na mwanaume yuko bize na sim au mpira bora jioe t mwenyew😂
2026-07-15 06:57:38
0
mariamvatsa
mariamvatsa :
kabsa
2026-07-14 07:22:48
5
fatumasha
user419824404349 :
hakika simu jamani
2026-07-14 07:06:50
6
rukia.mwakulinga
rukia mwakulinga :
Simu
2026-07-14 09:35:20
2
alia.uwase
Alia uwase :
subuhana llah
2026-07-14 16:03:50
1
shaziadachinha2017
@ Chinha.Ibraimo.Ib :
Kweli shekh
2026-07-14 16:43:25
2
exukcollection
thrift by Rummy :
jamani sijui ulijuaje
2026-07-14 14:41:02
1
mwanamisi.seif
Mwanamisi Seif :
kweli kabisa
2026-07-14 08:56:01
2
thumamnyazi
Thuma Mnyazi :
inalilahi waina ilah rajiun astghfiruAllah
2026-07-14 15:30:03
1
user2652255528724
nuuu :
kweli
2026-07-14 09:58:05
2
issk094
issk :
kweli shekh ata mme wangu yuko ivo
2026-07-14 08:02:29
5
user7878301725344
mwaidi :
nisim.
2026-07-14 15:31:33
1
user61075003209737
Suma :
shekhe lait ingewezekana simu zingeondolewa ziletwe zama za barua
2026-07-14 16:20:43
1
sallybraid2
Sallybraid2 :
wallah ni mtihani sana
2026-07-14 14:18:06
2
emx792
emx792 :
kweli kabisa
2026-07-14 10:04:35
2
user93510329681162
Salma Auma :
kweli
2026-07-14 08:46:00
2
umm_zaid_
Umm Zaid🌸 :
kabsaa
2026-07-14 08:56:26
2
To see more videos from user @abuumanaahil, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About