ndio mahan namkubal kiba anaakili san mwenyeakil nazan amemuelewa🥰🥰
2026-07-14 04:40:18
64
Alnadhir :
King is king
2026-07-14 04:51:22
1
Baba D :
king kiba 🥰
2026-07-15 05:37:32
9
livingsoul👁⚡️🪬🔯⭐️🌞🌙 :
that's why Kenyans love this guy ...he understands his assignment 💯👌
2026-07-14 07:14:23
4
lahma :
King one love you
2026-07-14 04:44:59
3
Peter maiko TZT :
Respect san king kiba
2026-07-14 02:01:46
3
Ahmad Valentino peter :
ninachojua mimi ali anahofu ya Allah..ukisikilza majibu yake na ilo ndio jibu kwetu
2026-07-13 22:57:09
27
Toto smart🥰🥰 :
hilo swali angeulizwa mondi ungesikiaa majibu yake
2026-07-15 05:53:59
4
Clinton allan :
Alikiba unaakiliz sana na unajielewa 🥰nakupenda bro
2026-07-14 07:14:55
8
Pius Simon :
Respect my brother king kiba chukua madini kwenye hy verse
2026-07-14 00:56:36
10
Mavoco :
Akili nyingi sana uyu bro
2026-07-14 03:49:47
4
emmystanley46 :
kweli kabisa umeongea kitu kizuri sana
2026-07-14 07:11:29
6
MÀÑŸÒTÀ ĴŔ99 :
Alikiba ndio King of kings 🔥🔥👊🏾
2026-07-14 11:18:07
4
Furaha Samson :
Dah yaan una maneno ya hekma sanaa king kiba
2026-07-15 07:11:39
6
💞Honey❤ :
jaman 🥰 nampenda sana kiba
2026-07-14 04:50:09
4
MWAJUMA1993 :
mungu a aliki sana anahofu ya mungu
2026-07-14 02:33:44
7
yasintaevalista37 :
mungu akupe maisha marefu King 👑
2026-07-14 11:40:53
6
monicamkara :
nyie siku niliposikia hayo maneno nililia na nilimkubali mpk leo kumbe mwamba ni mtu mwenye hofu ya Mungu hata kama umebilikiwaaje kumbuka kuna Mungu usijitukuze
2026-07-14 05:23:39
14
it's ney💕💕 :
kiba mungu akulinde
2026-07-14 08:24:30
2
Zelish mandende :
kiba upo sahihi kbs✌️💯
2026-07-14 06:08:56
3
Bernice🌹 :
Dunia tunapita jamani Bora wewe uliechagua kuakawaida ‼️
2026-07-14 13:02:18
2
sabrath :
kiba anajiheshimu na ndio maana mm nampenda sana
2026-07-15 08:20:39
1
Rhoda faustini :
anaakili ndo mana mungu anamzidishia maarefa☺️☺️
2026-07-15 18:30:25
1
To see more videos from user @mirronelly, please go to the Tikwm
homepage.