Yaani wivu na chuki vipo sana makazini… umeondoka Clouds fm na umeondoka na ‘ Leo tena😂’.
2026-07-14 12:06:22
1
CHUSSE JR :
sema hunsa abduri nae anajua
2026-07-14 12:31:32
1
Ngasa1993 :
dinah mario na leo tena, daaaa!!! namkubal saaana sema clouds unafki saaana alaf washamba saaaana
2026-07-14 03:57:45
9
Foodnetwork Arusha01 :
Hivi leo tena ipo?? sijawah sikiliza tena tokea dina ameondoka
2026-07-14 09:06:17
1
Joseph Mkongo :
vp huo mwaka mmoja namiez8 alikuwa analipwa mshahara
2026-07-14 06:57:28
2
Hey :
michezo
2026-07-13 20:56:43
5
Mis_Jessie :
Nilikuwa napenda sana hiki kipindi alivyo hama dina nikaachana na clauds fm kabisa
2026-07-14 09:10:10
0
Vsquare😎 :
heeee
2026-07-13 19:05:32
0
angelonilla :
toka aondoke clouds sijawahi tena kusikiliza leo tena
2026-07-13 18:38:57
12
helena💞💕💞 :
nakumbuka marehemu luge alisema da huu katengeneza pesa nzefu sana za matangazo kupitia kipindi kuliko mtangazaji yoyote mpaka anampigia makofi 👏👏😂 nakumbuka kabisaa nilikuwaga mpenzi sana wa Leo tena.
sema ma boss wakisha kutumia wakipata mkubwa kuliko wewe hawaangalii kama ulikuwaga unakesha wala hulali wala nn wanaangalia unaingizaje pesa
2026-07-14 07:05:00
4
Nicole Ambele :
tangia aache kutangaza sijawah kabisa kusikiliza Ile Redio
2026-07-14 02:52:20
7
Miriam J 💯 :
mm niliachaga kuskiza clouds baada ya Dina kuondoka nilianza kumsikiza Toka 2006 hv
2026-07-14 03:22:08
2
beatrice__ :
tangu aondoke Dina niliacha kusikiliza Leo tena kabisa
2026-07-14 05:39:15
0
Joseph Rosse :
Husna Abdul alikuwa na haki ya kupewa hiko kipindi maana hakukikaimu bali kakimiliki.
2026-07-14 12:28:21
0
mbeya_outfits :
😁😁😁
2026-07-14 09:43:13
0
To see more videos from user @dieliapro, please go to the Tikwm
homepage.