@leonardmassinde: 😂😂🙌Msiishi Wenyewe Jamani #tanzaniatiktok🇹🇿🇹🇿❣️🇰🇪🇰🇪♥️ #daressalaam🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 #goviraltiktok #foryoupage❤️❤️

Leonard
Leonard
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 13 July 2026 19:29:11 GMT
145209
7880
1534
516

Music

Download

Comments

lunafreight
COMMENT SECTION :
Raha Sana mkuu kuosha vyombo Mpaka vinuke nishindwe kulala
2026-07-14 06:56:13
678
22ginna1
GINNA :
nguo zote zikichafuka nanza kutafuta zenye uafadhari navaa tena 😁😁😁😁😁
2026-07-14 09:28:40
535
getrudapetel
getrudapetel :
kulala bwinda bwinda😂😂😂
2026-07-18 16:45:46
0
dolphin41286
Dolphin 🐬 :
kula mpaka nianze kutetemeka 😂
2026-07-14 07:31:17
529
magreth112
Magreth :
ukinunua samaki wakukaanga kabla aujawapika ushawamaliza
2026-07-14 07:28:31
315
finegel7
💞C💞🔐 :
Nalala kutwa nzima kaz nafanya jion😂
2026-07-14 10:20:19
273
ainna.hemed
Madogirl :
napika wali wa wiki nzima kazi kuupasha tu😂😂😂😂
2026-07-14 09:13:23
164
lam_store255
LAM_STORE255 :
nina kabati nguo nalala nazo kitandani
2026-07-14 08:27:21
168
debora.jefta
debora Jefta :
kukojoa kwenye kikombe nkibanwa
2026-07-14 07:27:02
159
najaphaaa
nanabaddie🦋 :
kujibaka mda wotee😂😂
2026-07-14 11:24:41
120
user62747819830682
weky :
natoka siagi na me mwenyewe sijuh naenda wap😅
2026-07-14 11:53:19
63
subiramajala
SUBIRA :
Kuosha vyombo na kudeki kufany usafi usiku wa manane😅
2026-07-14 15:20:02
29
edocascazin
Edo Cascazin :
navua nguo zote najiangalia kwenye kioo ☺️☺️
2026-07-15 15:39:44
18
naomi.joel44
NANAE’S JUICE ❤️ :
Mm hili swala la kutupa nguo chin jmn😂😂😂
2026-07-15 14:13:44
5
user2614816875217
Maria noah :
kupika nikiwa uchiiii😂😂😂
2026-07-14 14:36:42
7
user7338513819561
Mrs Justin ♥️ :
najamba kwa uhuru navotaka
2026-07-14 15:22:51
5
mollelfamily1
YUZZO🇳🇬🇳🇬🇹🇿🇹🇿 :
kumbe kusoma comment kunaondoa stress😂😂😂
2026-07-14 14:49:04
12
babiegirl42
Molly🤗🫣🤭 :
Nashinda tiktok kula mpka nion kixungzung stok nje kbsaa an sifany kaz yyt
2026-07-14 18:45:09
8
phina44237
Phina babe🦋 :
Kufanya kazi mpaka nafsi inisute
2026-07-14 13:07:06
6
user5275519355157
Lina Lamecky :
Natembea nyumba nzima nikiwa uchi na kujamba Kwa kujiachia
2026-07-14 09:09:33
129
brezzy2047
Official🦋Bee :
Kufanya usaf mpk niskie mtu anakuja 😂😂
2026-07-14 14:34:15
54
happiejooh
Happie Momáh🥰☺️ :
Mwanaume atakayegusa comment yangu namtongoza 😂🖐️
2026-07-15 13:50:43
19
user45187605665866
mimah dest :
Mimi kula mpak nianguke na kizunguzungu🤣🤣
2026-07-15 06:25:40
9
leus.medard8
Leus :
nalala bila kuoga na hamnifanyi chochote
2026-07-14 09:19:36
38
To see more videos from user @leonardmassinde, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About