@abdrash_: Elimu si cheti tu: Unaweza kuwa na shahada nyingi, lakini kama hakuna maarifa na adabu ndani yake... hiyo si elimu. Ni karatasi tu.

Abdrash
Abdrash
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 14 July 2026 04:03:03 GMT
88459
4820
153
156

Music

Download

Comments

omari.bin.najumu
Omari Bin Najumu :
Sisi bado tuna kupenda sana wewe ni kipenzi cha watu mungu akujaze kheri
2026-07-14 14:18:44
57
user1944378066179
HUSSENI MBWANA TANGULU :
mashaa allaaah shekhe wetu WA mkoa mungu atuwafikishe sote
2026-07-14 14:13:22
22
user3517243305128
Mama naifat :
Mwenyezi Mungu akuvushe salama ktk hili kipindi kigumu unachopitia sheikh
2026-07-14 16:29:50
16
user993882456209877
user99388245620987mshakangoto :
mimi mwenyewe nahudhunika huyu sheikh nimtu mwema kama sheikh othumani maarimu Allah atakulipa kilalakhery
2026-07-14 15:13:48
15
super.brand.oils
super brand oils :
mzinifu uyoooooooo
2026-07-14 16:10:53
1
minaah.ismaili
minaah ismaili :
tunakupenda sana shekhe allah akuhifadhi ..ss nibinadam tulio jaa udhaifu hakuna mkamilifu katika dunia hii ispokua allah pekeyake
2026-07-14 18:27:52
5
halimakimwery
halimakimwery :
nimehuzunika na kuumia kwa kutengeliwa kwako😰😰
2026-07-14 14:57:30
15
krey324
krey324 :
anaone kana tuu mnyanyasaji bakwata nawapenda sana
2026-07-14 18:59:10
2
sulewasafiyahoo.com
sulewasafi :
mungu akuangazie Pepo shekhe wangu
2026-07-14 06:14:37
14
hulkamgenihulka
Hulka Mgeni Hulka :
TRUE SHEKH
2026-07-14 14:53:13
3
mswahili488
mswahili :
pole sana shaikh hatuna namna kupokea
2026-07-14 15:23:43
7
fatwima
FATKONDO :
Tuta kumiss sana sheikh wetu
2026-07-14 18:58:20
0
user9093357139487
pretty diih💙 :
Nahis kam yamemkut bab ang nakupend san shekh wang siamn hay niny yaona
2026-07-14 20:11:24
0
kithingaji
Masharuni empire :
Allah akukinge na kila shari
2026-07-14 13:39:02
5
chamadabest1234
Chama da best💕 :
Allah atakupa subra shekhe wangu ukipakwa matope yaache yakauke yatakuwa rahisi kutoka wenyewe usijifute utazidi kujichafua 🙏🙏
2026-07-14 15:22:00
7
wasweelat0
WASWEELAT :
Masha ALLAH
2026-07-14 05:46:46
8
user150086971065
Yahoo 파이낸스 :
Kila binadamu anamapungufu yake mungu atusamehe
2026-07-14 20:20:15
2
docta.sharif.azara
docta sharif azara :
🤲🤲🤲wallahi congo tunakuombea
2026-07-14 15:52:18
1
atqa.momo
mibaruzo brand 💦🔥🔥 :
mashallah nafurahi kuona mawaidha yako Allah akutunze🥰🙏
2026-07-14 14:47:05
8
ahmedmzee1
ahmedmzee1 :
Sheikh Walid Allah akupe Subra katika Mtihani huu atakuvusha hapo na kwengine
2026-07-15 03:12:15
1
abdullrahmanrashidsembe
Abdullrahman Rashid :
Allah tabaraq wa taallah...akuhifadh
2026-07-14 15:49:58
1
rubby.mo
Rubby m Ramani :
2026-07-14 10:54:29
3
user2372295111122
Jasmine :
Kheri In Shaa Allah
2026-07-14 06:09:57
4
jembe_pro
jembe_pro :
sijawahi kujua sababu ya kushika Mic nyingi....
2026-07-14 18:22:22
1
To see more videos from user @abdrash_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About