Sikiliza baba, sisi tunasaidia watu ikiwa ni akiba kwa maisha ya baadae.
Isitoshe, tulipwe au tusilipwe, Msaada wa Mwenyezimungu u pamoja na wanaosaidia wengine.
Uchoyo haukufikishi popote zaidi ya kusota hapo.
2026-07-14 07:16:03
19
imme :
mimi ninayo lakini maisha yangu yamejaa majanga tyu😭💔
2026-07-15 17:43:09
6
Said Shaaban :
SISI TUNA SAIDIA KWA KUTEGEMEA KULIPWA NA MUNGU NA SIO BINADAM SIS NDIO WALE TENDA WEMA UENDE ZAKO MUNGU LKN KUHUSU KUSAIDIA WATU SIACH
2026-07-15 08:31:30
10
CHRIss FitNess💪 :
KWELI KWELI KABISA KABISA IMENITOKEA MARA NYINGI NA NILIO TENGENEZA HAKUNA NILICHO PEWA ZAID YA KEJEL AKUNA KWEL KABISA NIKUJIANGALIA TU
2026-07-14 14:28:50
11
Othiman :
Vip kwangu mimi nina k nifanyeje
2026-07-16 17:31:08
0
Anastasia Mutava :
ni ukweli kabisaa
2026-07-15 13:45:40
2
Crush :
Ahsante
2026-07-15 11:40:44
2
sultan :
sawaaaa
2026-07-14 08:28:08
2
Maria Mgale :
saw kak nipe namba yako
2026-07-17 08:21:23
0
ℛ𝒶𝒿𝒶̊𝒷 ℛ𝒶𝒿𝒶𝒷 :
Nikwel, Ninasaidia lkn ninapokwama hakuna wa kutupiga taf.
2026-07-16 11:48:33
4
alima mujapan :
kwl kbs kaka
2026-07-14 14:35:14
2
angano jipya ukweli yesu yupo :
gonja ni mwambie brother watu wa M niwatu wenye huruma sana kuliko inavyo zania hafu wa tu wahaga wana tegemea sana
2026-07-15 11:18:59
1
Noël :
asante sana mwalimu Mungu akubariki unafundisha ukweli na ndivyo nilivyo.
2026-07-14 06:06:32
2
meery96 :
shida bro wengine sisi ni pisces
2026-07-18 04:26:54
0
jasmine makeup :
Nina ushuhuda nimetoa sana acha nifanye yangu sasa
2026-07-14 20:21:53
5
DARK ROCKY :
kweli asee
2026-07-14 14:53:01
4
EVA :
Nikweli kaka
2026-07-14 14:34:03
2
Fatma Seif :
kweli.iyosadakta
2026-07-14 10:18:41
2
Monicah Goka :
kabisa mwanzo twalipwa uovu badala ya mema uliowapa
2026-07-16 16:50:41
2
user1480086676966 :
ni kweli papa
2026-07-14 19:23:50
1
user9840174903628 :
ni kweli kbc jmn asante kwa somo lako mkuu
2026-07-15 09:28:19
2
Frank JR👍 :
Ahsante kaka kwa somo zuri. unarikiwe
2026-07-14 16:40:28
4
ngoka :
kweli kaka yani nayaona
2026-07-14 14:54:39
4
hasadi hana sababu :
wallahi hapa nayo umesema ukweli, mimi husaidia watu kwa shida zao, nikipatwa shida hawanisaidi kamwe, shida zangu nangangana mwenyewe, kwa miaka mingi
2026-07-15 08:59:26
2
user4976657886684 :
ndomana sipewi
2026-07-14 14:28:08
2
To see more videos from user @rk.helth, please go to the Tikwm
homepage.