ila matajiri wa katoro yaani hata hawaringi
mtu kapewa chenji billioni na ya kutolea afu ata hashituki ila kuna mwanaume wa dar juzi alinunuliwa gari eti kazimia kabisaa, yaan aibu utaona wwe😄😄
2026-07-14 07:37:53
287
Richi .mpole. :
uko saw
2026-07-16 14:02:16
0
salome _thobias :
llooooo
2026-07-16 13:00:22
0
ROUGHLY :
2026-07-14 06:28:41
110
Mashuda Mashuda :
hongera
2026-07-15 18:17:24
0
msanuaj/Tz :
ila imewaumaa sana
2026-07-14 06:41:15
190
Faustine Fredinand :
wew acha ulipewa harrie new model ukazimia
2026-07-14 06:20:34
113
Avatar :
upo kwnye kasri la bilion 1.3 ambayo ilikuwa chenji ya kwenye kamati ya bi harusi, na akapewa bilion 1.4 😁 au acha nikae kimya
2026-07-14 11:28:44
34
tarison28 :
GSM WA KATORO 😂😂PUT SOME RESPECT
2026-07-14 10:42:20
13
ramamahplaty512 :
baada ya kujua kua nyumba ya mwijaku haifikii thamani ya zawadi ya pesa alopewa bi harusi na kamati nimeumia sanaaaa....yaani anatoa hiyo nyumba na anabaki na deni😢😢😂
2026-07-14 09:24:01
50
Davie's ✍️ :
Kisa Ujaitwa Toka hapa
2026-07-14 05:49:14
76
official merry 💨❣️❣️ :
shida umesem waarabuuu, sisi ni wasukumaaa😂😂
2026-07-14 10:32:25
12
Florah Charles :
wana katoro wenzangu tumefikiwa mbona kama wanatuonea wivu
2026-07-14 13:36:56
34
pidope 0069 :
10/10 bhana
2026-07-14 09:56:14
7
Androl Pio :
sasa kwenye sherehe ulitaka waje na nyumba
2026-07-14 07:37:29
55
MED MELODY ✅ :
team katoro gonga like hapa
2026-07-14 14:46:26
12
CAPTAIN ORG 🎧🎤🎧🎶 :
kumbe miaka kumi ilio pita sis tuna taka sasa iv
2026-07-15 16:52:06
5
Reuben Belekia :
Broo hawakkualika au?😁😁😁😁
2026-07-14 12:53:42
5
𝕄𝕊𝔸𝕄𝕀𝔸𝕋𝕀 :
Mtu kasindikiza change ya 1B kwa 200M hata hajazimia 😂😂, Ww upewe gari la 20M tu hadi Kuzimia
2026-07-14 14:18:16
6
K. EFB PRO :
billion Moja point tatu😂😂
hiyo n chanji 😄😄😄
2026-07-14 06:32:19
54
Malenya Elias :
mwehu eeeee hivy tunaogelea miaka kumi au tulipo
2026-07-14 09:44:50
6
MWAFRICA@ :
ila kweli
2026-07-14 06:44:41
5
Robertoo swagz :
Mtu Kama Nani Achen Wivu Nyie Mkubalii Wametoshaaa🔥🔥
2026-07-14 09:39:57
7
Majiliwa John :
upo sawa kaka 😂
2026-07-14 06:38:45
17
To see more videos from user @mwijaku, please go to the Tikwm
homepage.