Mungu Baba ni cheo chake, Yesu ndie jina lake Mungu alipojifanya mtu na Roho mt ndie nguvu zake Dada yupo sahihi msimpinge
2026-07-14 17:14:50
5
Samson 🇹🇿🇸🇱 :
Msichokielewa hapo ni nini ?? Biblia inasema Dhambi zote Zinasameheka lakini dhambi moja tu Haitosameheka nayo ni Kumkufuru ROHO MTAKATIFU. MUNGU YESU NA ROHO MTAKATIFU. NI MMOJA, HUWEZI KUTOA MMOJA. HATUOKOLEWI KWA JILA LA MUNGU BALI NI KWA JINA LA YESU.
2026-07-14 16:19:27
2
Gemma Mashauri :
Dada uko vizuri sana,hawawezi kutaja wanamambo yao.Mungu Baba ,Mwana Na Roho Mtakatifu awaokoe.
2026-07-14 11:59:21
5
Jemz70 :
Yaani kitu pekee ulichomwelewa dada huyu ni KUTAJA MAJINA MATATU? Bro, usifanye haraka kuwajibu watu. Mungu wa kweli ni Utatu. Kanisa lazima likubali kwamba Baba alimtuma Yesu, na Yesu alipoondoka tunaye Roho Mtakatifu. Ukipuuza Nafsi za Mungu, hutakuwa efficient ktk Ukristo wako.
2026-07-14 16:38:41
4
GRACE IS MY LIFE MINISTRIES :
eti Mungu mmoja katika nafsi tatu. nani alisema Roho ana nafsi Roho hana nafsi wala Mungu hana nafsi mwanadam ndie mwenye nafsi bali Roho alikuja katika nafsi ya mwanadamu akafanya kazi. yeye anajiona yuko sahihi. lakini ni mapokeo
2026-07-14 13:40:48
1
Abdul Mhina Mgosi :
mungu hawezi kuwepo mara tatu huu ni upotofu
2026-07-14 15:34:02
2
Sylvester :
Mzee Ukristo unaanzia kumkiri Kristo kwa kinywa, kumuamini moyoni alaf unakuja kwenye matendo, pia alicho zungumza dada kipo tofauti na unavyo tafsiri wewe, dada amezungumza kuhusu mafundisho ya injili ndani ya kanisa wewe umetafsiri maisha ya Ukristo nje ya kanisa
2026-07-14 07:51:35
2
Baraka Halisi :
MUNGU WA KWELI HAGAWANYIKI
2026-07-14 15:45:07
0
Linda Kakila :
Ndugu zangu sisi Wakristo tumependa Migogoro sana na mitandao ina lnamuaibisha kwa mapana sana Mungu wetu.
Tufikie Mahali tusikilizane kwa Makini na tuelewe kila Ujembe kwa kina.
Dada yuko sawa 100% na Kaka uko sawa 100% Lakini tunatukanana Duh.
Vita vinatoka wap?
Kuchukiana kunatoka wap?
Tuheshimiane jamani.
yani huondio ukwi kabisa dada mungu akubariki sana
2026-07-14 14:35:46
1
Juma said Juma :
Hakuna kitu apo mchungaji uko sahihi .
2026-07-15 06:47:40
0
Sigifred Paul :
Injili iliyo hai na ya kweli lazima inenwa kwa utatu.Yesu alisema yeye yuko ndani ya Baba na Baba yuko ndani yake ,asema habari za Roho Mtakatifu na umuhimu wake
Mama uko sahihi kabisa. Huyo jamaa haelewi kitu, huyo mama alichozungumzia ni fundisho sahihi la kikristo, na mafundisho hayo ndiyo yanayomwimarisha mkristo. Huyo mama hakumaanisha kutaja tu no tiketi kukubaliwa na Mungu, usipotoshe. Kuhusu Roho Mtakatifu Yesu alisema heri yeye aondoke, maana asipoondoka huyo Roho Mtakatifu hatakuja. Yohana 16:7 kwa kuwa Roho Mtakatifu ndiye analisimamia kanisa. Soma Yohana 14:25-26; Yohana 16:13
2026-07-14 19:00:13
0
user8132387721381 :
hakuna utatu kwa bibilia eti Mungu mwana,Mungu Roho hao Ni miungu watatu si mungu mmoja Wa bibilia,kwa bibilia Kuna Mungu mmoja ambaye ni baba,Yesu Kristo ambaye Ni mwana Wa Mungu na roho Ni uwepo au nguvu ya Mungu aliye ndani ya kristo
2026-07-15 06:53:40
0
Evelyne Celemani :
amesema kweli kuna Mungu Baba na Yesu kristo na Roho mtakatifu
2026-07-14 19:04:34
0
angel :
utatu mtakatifuu
2026-07-14 20:22:50
0
user2501348032050 :
lakini wewe mzee hakuna wokovu wa kweli isipokua kwa jina la yesu ,yesu akaja katka mathayo 28:18-hadi mwisho nakusema nemepewa mamlaka mbingini na duniani akawaambia wanafunzi wakawaubirie kila kiumbe na kuwabatiza kwa jina la baba la mwana na roho mtakatifu
2026-07-14 19:06:07
0
stanslaus magin :
ni kweli dada
2026-07-14 19:32:44
0
To see more videos from user @ushindeubayakwawema, please go to the Tikwm
homepage.