Nilichogundua pesa ipo ila watu wa ku design makazi yake ndo wamefeli.
2026-07-14 11:02:21
201
magrethherin :
kwa msechu ni pazuri kuliko hapi
2026-07-14 09:28:08
104
rehema :
mmmmmmmmmmh
2026-07-14 11:56:09
0
Magy Mm² :
hapo kwenye chumba kimoja kina nni humo😳
2026-07-14 11:37:49
29
J :
Hata kwa zumaridi ni pazuri mara elfu moja ya hapo
2026-07-14 10:46:49
15
NeemaMussa :
hicho chumba kimoja kina nn humo ndani
2026-07-14 13:28:53
11
mrnicktz :
Camera man twende kwenye chumba kimoja please
2026-07-14 14:27:56
6
Dorie Make Over🌝 :
Comment section mnaroho mbaya
2026-07-14 10:43:53
12
callard 17 :
kama ana pesa aje kuishi ostarbay
2026-07-14 12:59:29
8
prince aqram :
sasa mbona nipakawaida sana
2026-07-14 13:53:27
5
@sophia❤️ :
hapo ni igando
2026-07-14 09:40:10
6
Manny shoes :
Walisema ni magari tu, leo wanaenda kufanya house tour. Inaonyesha kabla ya kuhukumu mtu, ni bora kwanza ujue ukweli. tajir hawana sho of tu,
hl linatosha kaka ✋
2026-07-14 10:11:48
14
Rey joe :
😂😂😂izur tukifa hatubebi chochote zaid ya amali zetu😂😂
2026-07-14 10:38:00
7
black beauty :
Naomb kaz ya kutengeneza bustan
2026-07-14 14:50:45
1
Anna Julius :
Hapo kijijini kwao
2026-07-14 10:50:29
7
Magreth Munga :
ila 😂😂pakawaida san
2026-07-14 10:14:25
14
neemaTego :
GSM shikamoo , Niko njian nakuja kukusalimia baba
2026-07-14 10:10:54
10
ER Cosmetics & Vibes 😂🔥 :
Funzo ni moja: usibishe maisha ya mtu kwa sababu hujayaona. Mali zote hazipo Instagram au kwenye mtandao, na si kila tajiri anayeishi kwa ajili ya kamera.
Hilo jibu Tosha kaka, so mainfluencer w0te wakae kwa kutulia tu
2026-07-14 09:54:41
6
magrethherin :
pakawaida sana
2026-07-14 09:27:49
17
Kogoty Used Items :
Dotto asione hii
2026-07-14 13:30:32
0
mwarey :
inatosha
2026-07-14 13:23:50
1
Elijah chazzy :
Hapo hakuna kinywaji cha bei garii hata kimoja
2026-07-14 18:17:20
0
Faah✨ :
1. Kumbuka ulipotoka – kwamba licha ya utajiri wake, hakubomoa nyumba zake za zamani ili kukumbuka maisha aliyoanzia.
2. Historia ya mafanikio – kila nyumba inaonyesha hatua aliyopitia hadi kufikia mafanikio ya leo.
3. Unyenyekevu – anaweza kumiliki utajiri mkubwa lakini bado anaishi au anathamini maisha ya kawaida.
4. Uwekezaji wa mali – amejenga nyumba mbalimbali kama sehemu ya uwekezaji wake.
2026-07-14 17:31:19
2
Queen John :
Kutoa majibu aliouliza Mwijaku🤣
2026-07-14 13:42:50
2
Bibi bomba :
kikubwa pesa ipo
2026-07-14 12:02:32
2
To see more videos from user @smiledenzel8gmail, please go to the Tikwm
homepage.