@anuarite_makuburi: KWAYA YA MWENYEHERI ANUARITE WIMBO: TUNDA LA KANISA MTUNZI: TRADITIONAL PERFORMANCE: MKATOLIKI CONCERT 2026 Karibu kushuhudia Namna ndimi zilivyonena kwenye tamasha la mkatoliki hakika watu waliguswa Mioyo yao #views #foryou #catholictiktok #creatorsearchinsight #mwenyeherianuaritechoir

Mwenyeheri Anuarite choir
Mwenyeheri Anuarite choir
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 14 July 2026 06:34:47 GMT
42667
4106
137
63

Music

Download

Comments

pharmg8
pharmG :
altoo fireee
2026-07-19 15:24:26
2
dativa022
TIVAH🦋 :
Najivunia kuwa Mkatoliki 👌🥰🙏
2026-07-15 05:10:27
35
binti.augustino
Binti augustino :
huu wimbo umenikumbusha mbali 2009 kipindi nipo utoto
2026-07-18 15:28:13
2
painc48
painc💕🦋 :
mwenzanu mm ndo naolew na muislam daah dhehebu langu😔
2026-07-15 08:39:32
8
linahsmile2
Lina :
Yani mpaka mwili una sismka nakumbuka mbali🙌🙌
2026-07-18 11:04:15
5
user9297566752173
Elizabeth :
Jmni nakumbuk nilipopat kipaimar tuliimb san huu wimb
2026-07-14 16:46:32
7
offcial.arynna19
💞Ms Naa💞 :
Mmenikumbusha mbalii😚2008 hiyo komunyo ya kwanza
2026-07-16 05:39:52
6
k.dravix
Kelvin Abel :
Hii ni live recording au
2026-07-16 20:41:03
1
avemaria.byabato
Avymyra 🎀😊 :
Tunda tunda tunda hilooo ooh tunda tunda tunda hiloo🔥🔥
2026-07-14 15:07:28
10
justine_sanga2
J - SANGA :
Mmenikumbusha mbali 🥰🥰
2026-07-14 11:12:15
7
mackvary
màçkvãry. :
Ohh jmn hakika najivunia kuwa mkatoliki✝️
2026-07-14 20:34:45
4
mrleonard255
LEONARD 🇹🇿 :
i wish to be there
2026-07-14 18:37:08
1
brighton.jerome7208
I V O R I A N ..B 🇹🇿+🇨🇮 :
mbon mashemas atujatajwa
2026-07-14 16:38:33
6
nicerjoseph
veetricious joseph💓😍 :
panapomajaaliwa ya mungu sijui Kwa namna Gani Ila natamani SKU moja Nije kuwa naimba Kwaya hii mungu atimize Haja ya Moyo wangu kabla sijatoweka duniani Kwa sasa naishi na mkkt lkini sjui kivipi itakuwa mungu ndio anajua🥰
2026-07-16 15:21:45
4
flavian729
GRACE MSUMANGE :
Najivunia nimezaliwa kwenye Moja
2026-07-15 18:04:02
2
lunkombejuliet
Julia3 :
Mmenikumbusha mbali tycs sekondari🥰😁🥳
2026-07-15 09:08:31
1
cintherbella2
cinther-bella🦋🎧🛍 :
viwawa tunda la kanisa❤️
2026-07-15 08:56:55
3
samuelowiti1
Samuel Owiti Wejuli :
iasee huu wimbo nimeupenda..... munitaftie mziki wake..... niufunze mahali🔥🔥🔥🔥
2026-07-16 12:48:39
3
inocentmphuru
Inocent@💦 :
jamani kwa Yesu rahaaaaa🥰
2026-07-16 19:16:33
1
machaorichard
Richard :
kuwa mkristu Raha sana
2026-07-15 18:52:52
2
pompo_baby
@pompo_baby :
Sauti ya tatu njoeni apa “ Tundala kanisa hilooo,,,”
2026-07-16 13:16:06
3
grationkatunzi611
gere :
nakumbuka shulen kwauso mimi
2026-07-14 21:46:09
2
benedict.singer
Benedict Singer :
🙏🙏🙏💪 big up Kwa Allen na woteeeee Kwa ujumla
2026-07-14 11:10:38
3
teresiapascalmuin
teddy :
da mmenikumbusha mbali hongereni sana mungu awabaliki
2026-07-14 18:41:43
1
nelsonsenguo
nelson senguo :
organist Kuna namna apewe soda🔥🔥🔥🔥
2026-07-14 13:52:57
3
To see more videos from user @anuarite_makuburi, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About