he is teaching but his words doesn't carry light...he is very wrong 🤔
2026-07-15 00:45:56
0
McTen Hundredz :
another challenge 😳😳😳😳
2026-07-14 18:59:36
0
mrArwa :
asante
2026-07-14 13:43:38
0
Maulid :
very smart
2026-07-14 15:31:33
0
JOHA :
Cheki alili zenu hakuna nabii yoyote aliojua kama yesu atakuja na hakuna mtume yoyote alikuwa amepewa maono ayo zaidi ya muhammd ty
2026-07-15 02:13:35
3
Abu :
sio lazima uwe na kofia ndio uwe sheikh
2026-07-15 05:14:55
2
suleiman Aly :
yesu alisema kuwambia kua atakuja badala yangu jina lake ni Ahmad
2026-07-14 14:42:38
16
Seth Nyenzi :
Jambo kuu la kuelewa,YESU NI MUNGU, Usipotambua hili huna nafasi mbingun
2026-07-14 15:42:30
10
alex_kyuli :
Isreali hapo haimaanishi nchi (kama Israel state), bali ni taifa la Mungu (a chosen nation-wanaomwaminia Mungu).
2026-07-15 01:46:05
1
BINTI SAYUNI :
haleluya haleluya YESU ni mwana wa MUNGU
2026-07-14 20:57:57
3
OMBENI MALAKI MOROGORO :
Akawaambia, Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe.
Marko 16:15
2026-07-14 09:12:40
9
Nabeel Alhinai :
huyu ndo mwalim kimweri mashallah jamaa anajua mpaka anakera Allah ampe umri mrefu aamin
2026-07-14 18:03:09
6
COMPLEX#1 :
Jamaa ana akili sana. mshaallah. yaani anaichambua bibilia kuliko pasta mwenyewe. Allah akuhifadhi bro
2026-07-14 20:57:51
4
Develouner :
uyu shekh nmemkubali anajua kuongea point
2026-07-14 18:14:23
2
injinia_3 :
daah uyu jamaa ni genius aisee
2026-07-14 13:19:50
2
Jordan Felix :
mimi ninaswali moja yesu wadai ni mungu na baba yake yesu anaitwa nani au ndio mungu baba mungu roho mungu mwana au mimi sielewi au bac ngoja niwaachie wenyewe
2026-07-14 13:39:49
1
ChicharoJR98 :
Mungu hana maneno mengi Mungu kwake ni ndio au hapana ukiona sehemu maneno ni mengi kuwa makini
2026-07-14 22:05:26
1
Byblos :
nashukuru mungu kwaku niongoza kuwa mwislam
2026-07-14 10:35:30
8
Suleyman Mussa :
Mwalim wewe ni genius Allah akubariki Ameen Ameen Ameen 👍
2026-07-14 09:02:36
9
bin ali :
yesu alijua alisema baada ya kuondoka mmi kutakuja msaidizi wangu uko mlima sinai na mlima sinai uko uko arabuni
2026-07-14 17:18:34
2
wachaina999 :
Kwani huyo ni Mwanaishi au ni pastar
2026-07-14 13:33:49
0
➳ᴹᴿ᭄𝓜𝓲𝓼𝓽𝓮𝓻𝓬𝓸𝓶𝓹𝓪𝓼𝓼 :
eeeeeeeeeeeeehhhhh mungu tujaalie mwisho mwema
2026-07-14 08:21:05
1
muuhlove01 :
Asant mungu kuwa muislam
2026-07-14 22:39:17
1
Adam Ramadhani Mohamed :
mwenyezi mungu kuna watu kawajaaliwa ufaham mkubwa sana.
2026-07-14 17:14:46
2
official lux 7 :
uyu jamaa anajua dini
2026-07-14 15:50:59
0
To see more videos from user @chiefannex, please go to the Tikwm
homepage.