@abuu4real_: MAPENZI YANA RUN DUNIA 📍#alikiba #KingKiba #tiktoktanzania🇹🇿 #tiktokkenya🇰🇪 #fy

Abuu4real
Abuu4real
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 14 July 2026 06:57:52 GMT
405837
41168
542
685

Music

Download

Comments

jamaliramadhaniom
jamaliramadhaniomarijamali@gma :
alikiba The Best 🔥🔥🔥
2026-07-18 09:40:29
0
moronianboy
moronian boy :
Katoro imezima birthday ya mama wa Madale
2026-07-14 14:20:20
278
farida.sumbe.omma
kadallah ♥️ :
kwa hizi akili zangu ningeacha Kuimba niokote hela🤣🤣🤣🙌🏻
2026-07-14 19:05:34
388
nicholusmacheda
Nicholus macheda :
my bongo all time favorite song
2026-07-18 17:37:56
0
user6158883454961
user6158883454961 :
money talks
2026-07-18 19:12:11
0
user774815944150
officielkasmos :
the special King of bongo flava king kibaaaa
2026-07-18 06:24:17
0
rey08735tiktok
REY wa tabasamu 🥰😂💝💖💗🌹🥀 :
ila sio siri Alikiba ni kipenzi cha wengi
2026-07-14 16:11:49
294
user45495166686688
last born :
mlishawah kujiuliza nikwanini alikiba anaperfom kwenye sherehe za heshima?
2026-07-16 08:02:41
50
user131999571485
Rayan mukekwa :
the king is kiba 🥰🥰🥰🥰
2026-07-14 08:12:11
24
fatma.khamis273
Fettymsengi😘 :
Jmn nan tuende katoro kutembea mwez mmoja
2026-07-14 14:13:48
56
sabevictor
sabevictor :
Ningekuwa Mimi Kiba ili nizidi kuokoteshwa ningeimbaaaaa naliaaa natambaaaa kabisaaa
2026-07-14 16:57:28
38
user5615062494119
idrisashafy :
vraiment 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 good job my king alikiba
2026-07-14 14:44:52
2
onlyyou.com00
Only You :
mbona baba mzazi wa bi harusi ndo vitu vyangu kabisa😂😂😂
2026-07-14 17:54:37
48
user631195688734
Dark onxyRose💜 :
Alikiba hawaimbii wahusika anamwimbia anaempa hela😂😂😂😆😆😆
2026-07-14 20:09:29
29
user3devotha
devotha🌹 :
Jaman ety hiyo pesa ya noti anayotoa baba ni shingapi,,mbona hapa Tanzania sijawahi kuiona
2026-07-14 20:44:50
10
swabrah210
Fatuma Tarimo :
Baba ake ni mdog jamn kijan kbisa😂
2026-07-14 19:00:36
10
fortunatefashions_
Fortunate _Fashion_Hub👗👚 :
Izo hela wampe alikiba jmn nawaona 😂
2026-07-15 12:44:51
2
ifrh06
Ifrah💕 :
nawaza kiba enzi za uvulana wake alikuaje🌝libarikiwe tumbo lilomtoa huyu kaka🥰🥰
2026-07-14 20:04:23
5
ali.bundezi
Ali Bundezi :
Ujue sio Dola moja zinatolewa hapo ni Dola mia mia hahaha
2026-07-14 09:32:15
16
zuuhchoicechoice
Zuuh choice Choice :
jman kwan bithday ya madngote ni lin?
2026-07-15 05:01:34
5
gip_78
The_home_of_hope 🫂 :
sema alikiba kapafom kwa hisia kuliko performance zote
2026-07-14 16:51:11
7
deussiabubakali50
mtoto w baba :
Kuna maisha baada kushiba 😁😁
2026-07-17 15:31:02
0
mama.africa.groce
Mama Africa groceries :
Alikiba the king
2026-07-17 11:48:02
2
its.rey90
renah💞 :
mwenzenu bora unipe 10000 kuliko Hizo nahisi ka ni za uongo
2026-07-17 16:28:45
1
To see more videos from user @abuu4real_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About