@scopemediatz: Mchezaji wa zamani wa Yanga SC Khalid Aucho amesema kuwa Mchezaji ambae anatamani kucheza nae tena ni Feisal Salum na hata alivyokuja Yanga alimwabia asigee namba za mbele hafai kucheza namba sita. Cc: The Physics on Denis Nkane YouTube channel. #ScopeMedia