wweeeeee aliniona sifai ndo maan kanikimbia ety sina pesa gar kaniacha mm nalia sasa mbona hakusema kama ashampata anaempenda kuliko kuniaona lofa moyo wangu kautenda akaenda
2026-07-25 14:10:09
3
yaatz👊 :
nitumie watsap nikuimbiye man niko vizuri sana namziki kaka
2026-07-20 09:34:33
2
Dj wakwanza Tz :
devoo devoo dj wakwanza Tz apa naitaji sampo kaka
2026-08-01 17:06:53
2
jacksoni nsika :
kakaa nipe namb Whatsapp nikuchek nik serious na mzk
2026-07-19 10:22:56
2
Isaac_himself :
aaa aaa we moyo wangu basi kuwa mvumilivu si uamini kama kweri umeachwa unan,gan,gana na mapenzi kashasema hakupendi basi Muache an
ende zake unan,gan,gana n,gan,gana mwenzako hakupendi ayaayaaa ayaaaaa kashaenda zake kaniachia maumivu yeye Kanda zake namisi kwer ila mwenzangu Kampala mwenza wake loli music 🎶
2026-07-23 21:18:58
2
Zungu Baita :
mi sin kipat kk najifikilia kufik ap n sijawai kulekod ngm kokot kwaio mim nakipaj lakin sijaibuk kusikik nishik mkon broo uniibue kipaj chng km umenielew nitumie namb nifik ap🎤🎹🎶
2026-07-21 05:34:14
1
street vina 💯 :
street vina 💯.....nakupa verse jina la account ilo verse utaikuta uko
2026-07-14 09:24:01
1
grammy :
xw
2026-07-14 09:48:14
1
To see more videos from user @devoo.kompaa, please go to the Tikwm
homepage.