@gideon_kulawa: ALIOLEWA NA JAMBAZI ALIDUMU KWENYE NDOA KWA WIKI MOJA TU | Pastor Dr Rose Shaboka

Gideon Kulawa
Gideon Kulawa
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 14 July 2026 07:23:43 GMT
593886
33953
788
2900

Music

Download

Comments

bintikambwili
FADHILAH🤍 :
me nataka huyu uyu wa haraka haraka🤣
2026-07-14 17:24:58
92
tarasiskalan
lestidia t karan :
ndo mimi APA nimetaperiwa😭😭😭😏😏😏😭😭😭
2026-07-14 11:27:36
15
daima.zumba
Daima Zumba :
tulio okoka hatuna mausiano
2026-07-14 10:01:03
79
doreenjohn08
doreenjohn08 :
Mi nimeolewa haraka yan tumekutana mwenzi wa 6 mwaka 2024 mwenzi wa 8 2024 mahari mwenzi wa 1 mwaka 2025 ndoa na niko na furaha miaka 2 ya ndoa🥰🥰
2026-07-15 07:27:47
59
user36869660632820
05054443344 :
apo apana pastor cc tuliokoka hakuna sehem ya mahusiano
2026-07-15 12:17:40
11
its_loah44
🦋LOAH🦋🤍 :
huu nao ni ukweli
2026-07-14 14:33:57
35
displaygasper
Display Gasper :
Kwan jambazi ana tatizo gani???
2026-07-15 00:57:52
15
halish.mohaa1
Halish Mohaa :
hata ukikaa Na Mika Kumi matukio utapata tu
2026-07-14 12:59:50
29
kaumbya6
𝓜𝓻𝓼🍎𝓙𝓕 :
akuna kitu naogopa kuwa na mtu aliechana na mkewe hii hunipasana wakati mgumu natakaga kujua kwakina kwanza chanzo chakuachana nikipi
2026-07-14 10:24:28
25
evdai6
Evdai🪭 :
mimi nikutana na shetani nimefunga siku 40 niliona dunia nyekundu jamani nilisikia uchungu sana Kuingia kwenye mahusiano na mume wa mtu
2026-07-14 09:59:39
10
user53032015997387
mirry :
Mungu nisaidie ndoa yang ilikua ndan ya wki 3 kujuana adi kuoana na nimeenda honeymoon nikiwa danger sahv nina mimba naomba mamb yasiharibike
2026-07-14 13:46:22
9
rimoratz
Ummy rayani🥰 :
mie niliolewa haraka haraka ila tunafuraha miaka mitano sasa🥰
2026-07-14 18:42:10
6
catherinekarimi552
catherinekarimi552 :
nilifanyiwa hivyo hivyo ndoa ya haraka haraka na kumbe mwanaume ni muongo.mamayake na dadayake waliniambia Hana bibi na kumbe Mimi ni bibi ya tatu Nilithaani maombi yangu imejibiwa. ni vizuri kuwa subira nimelearn Asante Mungu.
2026-07-14 13:16:19
24
sweetybaby475
@Pendova🎀🦋 :
Mimi Wang alisema mengi san ili ampate huyo dada bas na mie nmemuachia
2026-07-14 11:52:53
11
mrsmack27
Mrs Macky🦋😍💍 :
mbona mimi kafanya hivyo na tupo jaman watu wametofautiana lakini
2026-07-14 14:06:21
6
pielee14
LEE KID :
True Mama
2026-07-14 14:48:02
5
chris20985
chris2098 :
Hiyo mafundisho ime ni funguwa akili sana mama
2026-07-14 11:28:38
5
val4ever10
Dem wa TikTok :
😂😂😂Amen karibu nilioleke haraka na huyu wangu 😂😂😂 good advise
2026-07-16 14:50:35
0
rosmelykhainga
rosmely khainga :
sijui niseme nini huo ukweli pst
2026-07-20 10:10:45
5
elizabeth.chuma8
Elizabeth chuma :
Niliwah kukutana nae tumekaa miaka 5 sijajutia aliniambia pasiword zake za benk nakila kitu chake ata siku alivobambwa akauliwa wala sikua na wasiwasi nikaendelea na maisha bila kuteteleka
2026-07-21 14:42:03
0
agnesnjoki499
Agnes :
wangu aliniambia kuwa hawakuelewana ndio maana waliachana 🤣🤣🤣
2026-07-19 07:58:36
2
reymussha
reyester :
MUNGU atusaidie watoto wakike saha ambao hatujaolewa na hatuna watoto miaka 27 pressure inakuwa kubwa
2026-07-15 07:11:25
4
user4319939112783
Dieu est de mon côté 💙 :
mambooooo🙄🧐🤭
2026-07-16 13:29:36
1
To see more videos from user @gideon_kulawa, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About