@dadawavijana:

Dadawavijana
Dadawavijana
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 14 July 2026 07:41:07 GMT
94160
4965
596
339

Music

Download

Comments

user35174222220916
[email protected] :
😂😂😂😂nachoka
2026-07-14 09:27:36
1
elinazi255
elly_255 (Sky is the Limit) :
Which country is this??
2026-07-14 19:22:26
0
fivi.fitsone
FiVi the one :
Dada hizi content zifanye sana tupone😂👏🏾👏🏾👏🏾
2026-07-14 10:23:54
212
esthersimbeye153
Esther Simbeye :
mwaaaaaaaaa ❣️
2026-07-15 12:24:17
1
lucyelly52
BLESSED WOMAN. :
sipendagi hata kusomewa matumizi ya sadaka kabisa yaani sipendi. na kadiri mtu anavyolalamika ndo ukame unamtandika balaa
2026-07-14 13:39:17
133
user9744313320463
Baraka Masanika :
pont is true
2026-07-15 17:27:50
0
dorika.juma
Dorika Juma :
miaka 13 ya moto wa uamshoooooo🥰🥰🥰🥰🥰🥰 umenena dada utunzwe na Jehovah
2026-07-14 14:03:03
58
pstmarymbugua3
pst mary mbugua :
God bless and keep you. ufanikiwe sana
2026-07-15 20:56:52
0
camarastockpiles813
Camara Laye :
🤣 halafu wanataka muda wote wakimuhitaji mchungaji wampate
2026-07-14 09:58:10
72
joe643079
Joe :
Shemesi wa zamu umetisha sana.
2026-07-14 13:39:45
38
alex_idd
Alex Idd :
mbona kama nimechelewa kuku-follow we mdada 😅😅😅
2026-07-14 13:21:35
56
user4019217068330
Ben_Nyanda🎓 :
kama hawatak kutoa waache😂
2026-07-14 10:24:47
20
ngoshamwanza
ngosha :
Mungu akutunze dada yangu kipenzi 🤣🤣🤣🤣💯
2026-07-14 13:52:36
21
elishageorgee
ELISHA🌱 :
Nimechekaaa Leo 😂😂😂
2026-07-14 17:40:45
20
reenyrich7
Golden Heart❤️ :
Nashangaa sana Yani Hilo swala linaniuzigi Yani mtu mzima kabisa et swala la sadaka kuliwa na mchungaji inamuuma wakati inagawanyishwa Alf wao mwishn
2026-07-14 07:55:45
34
enocktarimo3
enockjosephat3tarimo :
kila mtu ana ofisi ya kazi na kanisa ni ofisi yawachungaji na wanajua kuwa kilasadaka wa sio ivo tu wanatoa ata kwa yatima dada nimekuelewa
2026-07-14 13:07:58
14
winnerngowi
I'm winner :
😂😂dada wa vijana tunakuelewa
2026-07-14 13:28:02
14
josephmwaitendamw
davidson :
nakubali mtulist gademist expensive sheet
2026-07-14 13:56:20
13
user8607826181205steve
steve :
😂😂😂 Mungu akutunze sana Dada na mtumishi wa Bwana
2026-07-14 12:48:19
6
simply_carry12
simply_carry🧿 :
kwanza ntumishi wa bwana anakula madhabahunii waacheni walee tuu Tena mi sadaka zangu wale tuu kwkwel maana mi najua simpi yeye Nampa Mungu
2026-07-14 18:43:05
6
user9627086131009
shadrack :
wambie muchungaji Hana mushahara lazima sadaka iliwe
2026-07-14 18:23:28
6
user8019278211429
ROSE NGUYU :
ujue mi naona watu uelewa wao mdogo sana
2026-07-14 10:16:45
8
vasadarchy
vasa darchy :
sadaka gani wanazotoa buku buku ndo sadaka
2026-07-14 10:03:51
5
stevenmgendi7
Mgendi :
ukweli mtupu☺️
2026-07-15 12:46:08
0
To see more videos from user @dadawavijana, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About