Cheo kimeondoka ila THAMANI yako UTU wako havijaondoka tutazidi KUKUTHAMINI zaidi ya Jana
2026-07-15 18:29:14
70
Ash baby :
nitaendelea kukupenda kwaa jili ya allah.
2026-07-15 09:18:02
33
Ziada Omar :
ALLAH amzidishie zaidi ya apo shehe wetu Inshallah
2026-07-18 06:22:27
3
ismail baruth :
mtu akikupaka matope usyafte utajichafua zaidi yahache yakauke yatandoka yenyewe.
2026-07-16 03:28:13
26
abuuince :
KIPENZ CHA WATANZANIA TUNAMTAKA ALUDISHWE
2026-07-18 01:58:01
2
barista mdigo :
ila uyu nimwamba sana tunakukubali sana shekh wetu
2026-07-17 06:56:02
7
amirbishaza3d :
Yaani Allah ana makusudi yake asaiv shekhe mahaba ya waislamu yamezidi baada ya kutenguliwa kwake
2026-07-16 19:25:09
10
Abdul Razak :
Masha Allah shekh wetu pole na yote tunamuomba mwenyezi Mungu akuimarishe in Sha Allah tunakupenda kutoka UGANDA
2026-07-17 20:59:19
1
Tee :
MaashaAllah
2026-07-17 20:34:36
1
othman maalim🇹🇿 :
sheikh wangu wa muda wote
2026-07-17 16:58:01
1
Durak_ tz :
Elimu yenye manufaa ni urithi bora. Allah amlinde na ambariki Sheikh Waled.
Allah amhifadhi Sheikh Waled na azidi kumpa hekima na afya njema.
2026-07-17 02:26:44
8
Omari✌️ :
Sheikh Allah akuhufadhi
2026-07-16 20:52:54
2
jasminjaph262 :
Yan
2026-07-17 13:46:50
1
Abdallah Mzuzuri :
colora timited mwaka 1989 sio kweli
2026-07-15 08:38:04
4
oumar Hassan :
Sheikh Naku penda sana
2026-07-15 09:11:08
6
De7 :
daaah kweli umeWekeza mkuu😁
2026-07-17 20:37:49
0
Awadhy Manyoter :
shekh wangu WA muda wote
2026-07-15 09:12:28
6
Gilli m :
Jamani anaongeaaaa vizuriiii
2026-07-17 21:09:19
0
Alkharithy mualim :
mashaallah allah akujaalie kher nyng sana sheikh wangu
2026-07-16 09:16:33
3
sashuuofficial :
dah shehe walid ww nakupenda bure
2026-07-16 07:29:30
3
salimaa11111 :
sheih waridi nakupenda sana japo Niko mbali
2026-07-17 09:04:21
1
xeliko :
sheikh ni mmoja tuh na si mwingine ni WALID ALHAD OMAR KAWAMBWA atakama wamekutoa ila mawaidha yako yatabaki kuwa Bora na tutaendlea kukuskliza mpka mwisho inshallah 🙏🙏
2026-07-18 05:42:22
2
Rashid khalifa abdallah :
maneno Yako ya kweli sasa yametimia
2026-07-17 00:00:44
1
SirMillaoTz :
Allah akulinf sheh wetu
2026-07-16 06:56:12
2
@Neyrshazi@📿💍 :
Ata iwaje Siku M/MUNGU akinijaalia mume wewe ndo shekhe wangu wakuniizesha inshaalha
2026-07-16 21:39:15
4
To see more videos from user @ramadhani.singano0, please go to the Tikwm
homepage.