@drjoelnanauka: LUDEWA KAA TAYARI, TUNAKUJA 🔥🔥🔥 Tukutane kata ya Lupingu, Pembezoni Mwa Ziwa NYASA. #UwezeshajiVijanaKiuchumi

Joel Nanauka
Joel Nanauka
Open In TikTok:
Region: ZA
Tuesday 14 July 2026 07:57:07 GMT
10861
723
45
25

Music

Download

Comments

upangwafinest
Mario ngovokho :
Homelands
2026-07-14 17:36:22
0
its_gboe1
TPASTAR⭐ :
my idol
2026-07-14 08:09:40
0
emmanueldedity
Emma🌹 :
Ss tunakuombea waziri wetu pendwa kwa vijana🔥🔥🙏
2026-07-14 11:36:13
3
user7407233478731
African boy :
amini unacho kiamini afu ongeza bidii 🫂🙏 MKUBWA MUNGU
2026-07-14 14:50:02
0
samweljohnpaul
SamPaul classic car wash :
Unaona vijana tunakoishi😂😂
2026-07-14 13:45:56
0
mssavina_
Mssavina :
mbona kama plate number imekaa vibaya au sioni mbalii 😂😂
2026-07-14 12:01:24
0
elliamaarifa
Ellia maarifa :
bado kwetu haujafika tunakukubali sana
2026-07-14 09:51:28
0
ssmnexus1
SSM NEXUS :
Tunasubiri ya Turiani Mh.🙏
2026-07-14 08:36:44
0
user8742724355274
asherypius :
hongera Sana kiongozi wetu vijana tuko na wewe kalbu katavi pia?
2026-07-14 08:03:11
0
zawadirichard105
Zawadi Richard :
pole nahongera unapita pagumu kwaajili yavijana barikiwa sana!
2026-07-14 08:05:16
0
edwardedwards536
edward 👽 :
Huku ni kwetu, ambako sikuwahi waza kama kiongozi anaweza akafika
2026-07-14 19:57:40
0
sillehouse2
sille house :
2026-07-14 13:14:31
0
hagai.owden2
Mwakyusa :
kazi kazi waziri tunakukubali sana !! akili nyingi💯
2026-07-14 18:45:08
0
cheed_tz10
cheed_tz10 :
Pamoja mkuu👍👍
2026-07-14 17:54:52
0
dicksonmlelwa507
DICK'S 🔧🔧🏍️🏍️ motorcycle :
ludewaaa nyumban
2026-07-14 14:47:20
0
dayma2421
dayma.. focus :
Tuko pamoja champion 💪💪
2026-07-14 18:08:25
0
theleast20
Nass :
Hii wizara tumeletewa mtu ambae tunaweza kuzungumza nae lugha Moja na akatuelewa
2026-07-14 18:16:19
2
allymanjano
air :
karibu sana kiongozi🙏
2026-07-14 14:42:40
0
itsjoel02
It’s joel :
Ukimaliza na uko ludewa vukia madaba maana vijana wako tunakuombea mema wajina
2026-07-14 20:41:28
0
zawadirichard105
Zawadi Richard :
ucjal kakakee nakupenda
2026-07-14 16:05:48
0
hagai.owden2
Mwakyusa :
itafanyika wapi katavi kiongoz?
2026-07-14 18:52:46
0
mudricknjelenje
KIJANA WA SYSTEM 🇹🇿🤝🤝 :
midoli ya wakuu🤝🤝
2026-07-14 17:59:42
0
alhabiby50
alhabiby :
Balikiwa sana kiongozi
2026-07-14 08:51:13
0
linconmars
Mars :
MSALIMIE DC OLIVANUS NAMANJIRI #ClassMate
2026-07-14 15:12:43
0
adam.frenk
Adams™🦅 :
kaka nahitaji malifa yako San mana toka nimeacha kukusikiliza kila siku asubuhi kichwa yangu imepungua madini
2026-07-14 13:50:25
0
To see more videos from user @drjoelnanauka, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About