@saleemhemedy: Taa ya Karabai (inayojulikana pia kama Pressure Lamp) ina historia ndefu na ya kipekee katika ukanda wa Afrika Mashariki, ambapo ilitambuliwa kama alama ya maendeleo, utajiri, na mapinduzi ya kiuchumi kabla ya kusambaa kwa nishati ya umeme. #historia #zanzibar #kumbukumbu

Saleem Hemedy
Saleem Hemedy
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 14 July 2026 08:19:37 GMT
10430
280
31
38

Music

Download

Comments

swisma0
Swisma_cake&Bites :
nakumbuka home sweetheart home mafia island 🏝
2026-07-14 14:30:45
1
user2554291518732
Munira.Miraji :
Legends is back
2026-07-14 16:20:49
0
itam921
zxero :
dah hii nyimbo inanikumbusha kipindi hicho Zanzibar ni neema yenye maadili sio sasa ivi Zanzibar imevamiwa na wageni hakuna tena neema🥹🥹
2026-07-14 10:56:31
4
sumranmamad1
sumran :
watu wametoka mbali jaman
2026-07-14 09:39:50
4
kyaa.anu
أنور✅ :
uo wimbo nikiusikia sa8 chuoni tyri😂
2026-07-14 13:28:53
2
djimmu
IMMUDJ :
Allahu akbar nakumbuka mbali sana hakika tumeshakua watu wazima Mungu atupe umri mrefu wenye kheir na sisi 🤲🤲🤲
2026-07-14 14:28:10
3
saviola497
Saviola :
Neema kwisha Zanzibar
2026-07-14 11:11:47
2
eshlliy
mukhajasin :
ukimiliki taa hii kipindi hicho ww kwenu matajir jamani tushakuwa vizee
2026-07-14 09:40:26
1
salum_92
Salum 92 :
Duhh father alikuwa anaitumia kweny uvuvi iyoo long time n miskiti y nyumbn ilikuwa zikitumik
2026-07-14 13:08:22
1
aishaame410
Aisha Ame :
wimbo wa saa kumi nambili Joni mda huo kipindi Cha umeshindaje kinakaribia shirika la utangazaji zanzibar kwa sasa zbc.
2026-07-14 16:30:53
0
mr..one106
Mr. Isaac1️⃣✅️ :
DAH yani bro umenikumbusha mbali sana kwa kweli .yan huu ilikwa ndo muda wa kupata msosi .ALLAHUMMA GHUFIRLAHUU WA ARHAMAHUU WAMASKAANA FIL JANNAH 😭😭😭😭😭😭 kwa wazee wet waliotangulia.
2026-07-14 15:05:58
2
alhaji6iniesta
Alhaji@6iniesta :
wimbo huu unanikumbusha wakati wa magharibi kipindi cha umeshindaje
2026-07-14 14:50:28
0
shabari433
Hamis Masud :
2026-07-14 14:24:20
0
omyvolour11
omyvolour :
dah yan mpka machozi yananitoka mda umeenda sana ya rabi tusamehe makosa yetu sis tulip hai na walio tangulia amini
2026-07-14 14:53:41
0
user8147914816701
user8147914816701 :
umenikumbusha mbali wallah 😂😂 na huo mziki
2026-07-14 14:23:47
0
mwalimuhamadi729
Mwalimu Hamadi :
nakumbuk mbali sn mm jamn
2026-07-14 15:07:34
0
arr.babu
Arr babu :
Taa ya karabai, ikifutiwa kandili au chenni,na kibatali au koroboii
2026-07-14 11:39:59
1
user31455934539733
user31455934539733 :
dah long time ago
2026-07-14 14:01:18
0
muzahim.fruit
Muzahim Abdillah💧 :
dah !! kipindi hicho chuon ndio mda wake 😂😂😂
2026-07-14 17:00:27
0
saidshaban55
Last~king ☆ :
daah nlkua chalii xan kpind icho😅
2026-07-14 13:58:01
0
choloeddy3
cholo :
Nakumbuka mbali sana
2026-07-14 13:57:38
0
user951298041069
user951298041069 :
umenikumbusha mbali memkumbuka marehemu bibi anguuu
2026-07-14 13:57:37
0
hassanhamad1997
Hassan M. Hamad :
Duh hii inanikumbusha kipindi hicho nipo mdg zenj fm ikifika saa 12 kamili jiona au 12 na robo baad ya jumbe za salam jion
2026-07-14 13:41:42
0
allyomar16
Ally omar :
mashallah
2026-07-14 13:24:14
0
aronnapolitano
aronnapolitano :
naomba jina la wimbo au msanii kwa anae juwa hii nyimbo
2026-07-14 17:00:45
0
To see more videos from user @saleemhemedy, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About