@malkiafoods: Healthy Meal ya the love of my laifu ❤ Na sasahivi naongeza na Marine Collagen Supplements nzuri kutoka @madam_supplements Unaweza kuweka kwenye maji ya kunywa, juice, smoothies, maziwa etc #Breakfast #healthyeating

Malkia Foods
Malkia Foods
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 14 July 2026 08:54:01 GMT
71388
4080
48
250

Music

Download

Comments

don_pablo955
PABLO :
Mimi na mke wng inabidi tutafte mke
2026-07-15 14:06:54
7
mariamosha81
marina :
malkia hiyo marine collagen inasaidia nini mwilini mae na ninapata wapi niko Dodoma
2026-07-14 19:40:22
4
tabumbwana
First lady :
Basi hicho kisufiria cha juiu ninqcho ila sikujua kama kinatumika hivyo😁😁😁
2026-07-16 17:17:23
0
user74544061763441
user74544061763441 :
hii naipika leo leo😂 nilikua nawaza chakupika
2026-07-14 13:03:05
6
vicky.mamy
Vicky Mamy :
Nahitaji iyo sufuria
2026-07-16 16:18:59
1
user163396573
user4543704410930 :
Hilo sufuria la hivyo tunapata wapi
2026-07-14 11:37:35
1
tausyramadhani
TEE@SPA :
malkia utupikie tena mahi wetu
2026-07-15 11:49:31
0
sweetletmushi469
Sweetlet Mushi :
Malkia sufuriaaaaaa
2026-07-16 16:38:01
0
abesina27
Abby :
dear hii marine collagen inapatikana wapi? na bei yake ipoje?
2026-07-15 14:22:32
1
user650979916nyayo
nyayo_opp :
Bei gani hiyo college n
2026-07-15 08:06:50
0
allyaah51
Allyaah🥰👌 :
2026-07-14 16:32:42
0
happyoney1
Happy Oney :
Naomba kujua napataje marine collagen mumy.
2026-07-15 07:12:10
2
matildasimon491
Matilda Simon :
bei gaaan saampleme ya collagen
2026-07-15 11:13:45
0
joyousjapheth62
Joy🥰🥰 :
my role model 😉 God bless you and your family ❤️
2026-07-14 09:03:10
0
kellerlatino0
kellerbae3 :
naomba io pan
2026-07-14 13:18:49
0
shamiladoll
Shami doll✨ :
Haya mahi wetu Ahsantee🥰🥰
2026-07-14 13:26:27
0
nunu_outfit.store
Nunu_outfit store :
Mumeo ana raha choo Yesu doo ambele ngijifunze yadi😂😂🥰
2026-07-14 09:52:17
0
masudhpkjmz
masudhpkjmz :
Munakulaje fish na maziwa surely…nilijaribu karibu inipeleke sayuni 😂
2026-07-19 23:50:54
0
nancy_diego
Nancy🦋diego🦋🍎 :
Dad ukivichok vyombo zaman unikumbuk
2026-07-14 10:21:05
0
109_suces
109suces :
pishi la Mume nishapata bado huyo mume sasa😅
2026-07-17 11:34:51
0
sweet_babe7897
Neema Hiza :
🥰🥰
2026-07-14 09:37:59
0
thebestproductstz
Lilian Paul :
♥️♥️♥️
2026-07-14 09:05:41
0
florencemremi_flowers
Fm Flowers :
🥰
2026-07-14 17:22:49
0
To see more videos from user @malkiafoods, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About