Imam Shafii si kweli ukirudi katika Riyadh Swalihin na Adhkar Imam Nnawawi ameripoti kutoka kwa Imam Shafii " Inapendezwa kusomwa chochote katika Quran , na akasema ikisomwa yote basi ni vizuri "
kauli hizi zimenukuliwa na Imam Nnawawi katika vitabu vyake
2026-07-14 19:44:03
2
🔥KIKA🔥 :
je,mashindano ya Qur'an mtume (s.a.w) alifanya???!!!
2026-07-15 08:43:49
1
UISLAM NI NASAHA :
Shukraan sn wajazakallahu khayr
Muhim n watu wasimame ktk suala moja tuuh mtume hakufanya na ss tusifanye🙏
2026-07-14 10:25:37
4
Salim Ninga :
je mashindano ya kur.ani mtume kafanya
2026-07-15 07:28:40
1
البيماني :
Sheikh samahan itafsiri tena hiyo maan ya ختمة
2026-07-14 19:35:23
1
Akhy-IBRAHIM :
Tufate mwenendo wa Mtume Muhammad (S.A.W) na maswahaba zake... haya mambo ambayo hawakuyafanya tuachane nayo...... dini imekamilika.
2026-07-16 04:58:55
0
SAFFRON :
Sasa tufanyeje ili tusiingie kwenye bidaa?
2026-07-14 19:04:35
0
Tabarak Rahman :
mbona mtume alimsomea Ubahya bin ubayha bin sululi mtoto wake alimuomba mtume amsomee alivokufa na mtume akamaomea ili limekaaje shekh kishki Nurdin?
2026-07-14 20:54:14
2
abdallah perera🇵🇸 :
tumekumiss sana kwenye mawaidha kama haya🤔 sheikh nurdin
2026-07-14 20:10:26
3
mrangi de xmart boy :
2026-07-15 17:20:30
0
Ali Salim :
Aalaikum Sheikh kishki.natska kuja Dar jee utanipokea mimi ni mtu wa lamu Sharif na ni Twabibu Naitwa Ali Salim
2026-07-15 21:15:59
1
Athumani Mshihiri :
Hapo tumeelewana ndo maana nakupenda sana kwa ajil ya Allah
2026-07-16 23:32:03
0
Abedi bondo Yusuf :
next partie
2026-07-16 15:48:53
0
kingfahad254 :
Khalas
2026-07-14 10:57:33
0
Abuu Tuppa :
Rabbana ghfirlana wal ihiwanina lladhina sabaquna bil iimaan
2026-07-15 22:03:53
0
Zubery Nyamkunga :
أحبك في الله
2026-07-15 03:30:07
0
Salim Ninga :
sasa je nidhambi kama ikhtalafu
2026-07-15 07:27:37
0
Zubery Nyamkunga :
السلام عليكم
2026-07-15 03:29:47
0
Jumaa S Jumaa :
loading
2026-07-14 13:38:13
0
mfalme ✍️ :
hawana lakusema je mashindano ya Que rain yafa
2026-07-14 13:11:41
1
fey wa magola🦋❤️ :
Assalamu Alaikum Warahmatullahi Wabarakatuh, Sheikh.SAMAHANI NIKO NJE YA MADA
Natumaini uko salama. Kwa heshima kubwa naomba kuwasilisha ombi langu. Kwa kipindi hiki tumeshuhudia matukio mengi ya ukatili, mauaji na vitendo vinavyoumiza jamii nchini Tanzania na sehemu mbalimbali duniani.
Naomba, ikiwezekana, muandae muadhara au mkutano maalumu wa kuiombea nchi na ulimwengu kwa ujumla, ili tumuombe Mwenyezi Mungu atuondoshee roho za ukatili, atujaalie amani, huruma na upendo miongoni mwa watu.
Ninaamini dua za pamoja zina nafasi kubwa mbele ya Mwenyezi Mungu, na kwa idhini Yake zinaweza kuwa sababu ya kuleta mabadiliko mema katika jamii yetu.
Mwenyezi Mungu akulinde, akuongezee afya na akubariki katika kuiongoza jamii kwenye mema. Aamiin.
2026-07-14 17:25:29
0
Bin Abeid :
Allah mwenyewe anasemaje
2026-07-16 16:53:45
0
Maxree :
ka Kuna ikhtilafu kwahivyo sio thambi na ukifanya utapata THAWABU kwa sababu ni jambo la kheri
2026-07-14 13:17:15
2
dudwa :
sasa kwann wanasema maiti tuwaaombee dua iyo dua inaombwaje
2026-07-18 19:09:39
0
Omary Ramadhani :
apo jawabu laaah haifai nawalaa haina haja yakuletaaa madaaa ndefu kujielezeaa hapana ni haifai bhs
2026-07-14 16:02:07
1
To see more videos from user @sheikhnurdeenkishk, please go to the Tikwm
homepage.