@mh_komba:

Jerry John Komba
Jerry John Komba
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 14 July 2026 09:19:03 GMT
143930
4344
522
448

Music

Download

Comments

hawa.ngalima
Hawa.Ngalima | Mama Kenan🩵 :
This is exactly what I was telling someone ilipaswa jambo liishe kwa busara sio kumdhalilisha mmoja
2026-07-14 20:21:31
0
ammylizer_tz
ammylizer_tz :
Mimi ni muislamu Pure ila kuna mashekhe wanajificha kwenye kivuli cha dini but kwa kawaida watu watampinga huyu dada lakini usiombe yakukute.
2026-07-14 13:50:10
261
chiley826
🦋remmyrey🦋 :
well said🥰🥰
2026-07-14 17:28:29
0
marynane08
marynane08 :
Gooood
2026-07-14 18:22:09
0
olaedothequeen
Olaedo🍀 :
mimi nasema tena usijaribu kuolewa na mtu tajiri sana au mwenye anaaminika sana na jamii utalia zaidi ya king'ora
2026-07-14 15:46:15
50
radhiaon
mama razia ojiii :
on point
2026-07-14 16:57:04
0
user6330451275139
kinguluila8888 :
kwanini asiende Kwa mufti Moja Kwa moja.ili swala liishe
2026-07-14 13:00:22
38
hawahmusah48
🦋IMNAL~ H ~MUSAH🦋 :
The lady is very correct to come to social media and speak about..coz nikama amejaribu all sectors asaidike but sheikh nikama ameziba njia zote ...jamanini masheikh ni binadamu tu kama sisi na wanakosea pia!..sheikh angetaka kuyamaliza haya hayangefika hapa!
2026-07-14 18:10:26
9
user94839652413446
saphy @ :
Dada asikilizwe, na naamini ni mkweli
2026-07-14 12:12:35
79
amina.abdallah844
Amina Abdallah :
Mh hii dunia mungu atustir kwani shehe ni wa kwanza kufanya hayo
2026-07-14 13:57:02
20
bibi.cocu
Bibi Cocu :
Inaweza kuwa kheri kwake Shekh wetu, kwani tumeisha nae toka wadogo hakuwahi kuwa katili kiasi hiki. Inasikitisha.
2026-07-14 14:23:39
17
lellah_8
lellah_8 :
Hii inanifanya nizidi kutowaamini viongozi wa dini🙌
2026-07-14 16:25:48
19
user6142693915812
El bouhury :
Ammin. broo uko right sana mashaallaah 🤲
2026-07-14 15:35:46
2
einsteins.girl.he
Naah_mickey :
watu wanamtetea sheikh sababu n kiongoz Ila ma sheikh wanapenda sana kujifcha mwenye kivuli cha dini me namuamn huyo dada
2026-07-14 16:35:00
21
hawa.cannal
Hawa cannal :
kwahiyo shekhe wetu alizini au mm ndo sijaelewa
2026-07-14 15:09:58
11
ney.ney8755
Ney Ney :
mimi yalinikuta niliolewa na mwanaume ana dini alichonifanya alibeba kilakitu hadi nguo zangu sinahamu
2026-07-14 15:18:14
5
mayrahmarvin
Double "M" :
Shekhe kashasimamishwa ushekhe jmn mweeeh😢😢bela kwann lkn😢
2026-07-14 14:05:03
10
smart_kids_mitumb
Smart_kids_mitumba :
Perfect
2026-07-14 13:19:05
0
amina.abdallah844
Amina Abdallah :
Dah amemuharibia shehe wetu jamani
2026-07-14 13:55:15
5
abuu_marjeby
abuu marjeby :
Wee jamaa tangu nimekujua leo ndio nimekuelewa aisee
2026-07-14 15:59:56
4
alinassor7
alinassor7 :
basi tena mlokuwa mnataka lishakuwa tayari ashatumbuliwa
2026-07-14 13:44:37
37
beingbebeswtkichuna_
📍AngelNuru Ole Masingisa🥰🌹 :
leo kaonyeshaa mpakaa document zakuthibitishaa
2026-07-14 13:34:45
48
user50441733813794
UMMU LEY :
wee sio watu wa 3 ni watu wawili na Allah shahidi.
2026-07-14 14:24:16
8
juma1630
juma :
wanao jua sio watu watatu kaka niwatu wawili t mwenye kulalamikiwa na mwenye kulala mika mwenyezi mungu sio mtu kaka
2026-07-14 13:19:29
6
muddywise
Muddy Wise :
ni watu wawili sio watatu
2026-07-14 13:14:36
6
To see more videos from user @mh_komba, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About