wasukuma oyeeeeee wasukuma namba mija tanzania nzima
2026-07-14 13:50:48
56
BONIFACE CHARLES :
nachoka 🤣🤣🤣🤣🤣
2026-07-14 14:20:41
0
katoro lady 🥰🥰 :
na juzi nikajua kwann happy voice aliamua kumpenda laja boy 🤣
2026-07-14 13:30:33
34
baby vee❤️ :
Leo umenifulaisha san wasukuma noma
2026-07-14 10:51:19
71
Hotmonet 🩵❤️🔥 :
Huyo shekh alivyo shangaa😂
2026-07-14 14:12:12
15
rolaofficial28 :
afadhar leo wasukuma hatuja aibishwa
2026-07-14 14:48:09
10
Neymah da pretty :
kwahy mtu asitoe alichonacho tuacheni tutonga na bajeti
2026-07-14 13:10:01
28
Agnes Paschal :
wasukuma oyeeeeeeee
2026-07-14 12:19:25
4
Rukaya Msuya 🦋❤️ :
Aise Kabila langu tutongaaa na bajetiiii Kwisha WapAre oyeeee
2026-07-14 13:31:33
19
MAYA COLLECTION 🛍 :
WASUKUMA tupewe nchi tu 😁😁
2026-07-14 13:57:38
10
skyline✨ :
Wasukuma oyeeee🤣🤣
2026-07-14 10:51:29
15
Salome Marco :
s unaona ata wewe 😂😂😂😂
2026-07-14 13:45:32
14
Bensoul :
bwana Yesu asifiwe.. apa mi na afu nane tu😁
2026-07-14 13:17:47
12
msuya. issa :
weweee hiyo elfu nane inabaraka zaidi ya hayo mabilioni
2026-07-14 13:23:14
36
Skinia Mlohola :
me namtupia uxoni iy elf 8 yak
2026-07-14 13:31:29
6
Shamim joseph :
🤣🤣🤣🤣Wasukuma oyeeeeeeeee tujuane jmn
2026-07-14 13:32:22
11
Philimon Nyanda :
Hahahaha!! Ila Wapare
2026-07-14 10:51:39
8
Dj msix :
mi dj na playlist kubwa sana ya kisukuma ukanda huu wa mwanza alooh wasukuma harusi zao aisee zawadi mpaka asubuhi na sherehe zinaanza jioni dadekiii sajaona kabila jingine
2026-07-14 12:59:13
6
@biliy biliy.12 :
bg chukuwa nalipa
2026-07-14 13:57:55
3
miss zuh♥️💯 :
wasukuma
2026-07-14 13:53:13
0
To see more videos from user @mchaga_warombo8, please go to the Tikwm
homepage.