@pm_property: Mradi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Msalato jijini Dodoma umefikia asilimia 87.97 na unatarajiwa kukamilika Septemba, 2026. Kiwanja hicho kitakuwa na uwezo wa kupokea ndege 17 kwa wakati mmoja zikiwemo ndege kubwa aina ya Boeing 787 Dreamliner au Airbus A330 na kitahudumia abiria takribani milioni 1.5 kwa mwaka. Tazama Makala nzima Youtube — MAELEZO TV #fyp #trendingvideo #dodoma #tiktok