Mtu akikubadilishia maisha jiandae awe anaku control 🥹🙌🏼🙌🏼
2026-07-15 13:58:39
33
Binti mazengo :
nimejikuta nalia mm wa laki mbili wachq kesho nikatafute kazi🙂↕️🥹😫😂😂
2026-07-14 15:38:35
32
Lilian@ :
Kwahiyo 50k is fake money 😂😂😂🙌🙌
2026-07-14 13:40:29
8
fancy dallars :
mpk viazi vimemua kuongea bas ujue issue ni deep😂😂😂😂😂😂
2026-07-15 08:33:35
15
Umeira ♓️❤️🥰🦋 :
ngoja tu nikufollow kiazi maana 🥺
2026-07-14 13:22:30
17
GEEHCOLLECTION DODOMA :
Huduma sio million moja😩😂
2026-07-14 13:22:05
16
Miss Sarah🌸 :
Huduma sio kulipiwa af 80 au 100k ya kodi 😂😂
2026-07-14 15:07:53
13
Kandonga_pris :
mtu kwa mara ya kwanza nizaliwe ananipeleka dukan ananinunulia vitu vya lak 7 na cm juu yule baba labda alikua na nia nzuri ila mi naushamba wangu niliwaza atanitoa kafara nikahama na mkoa🙌🏻🙌🏻 labda alikua na nia nzuri baba wawatu mana alinambia mkewe anashida ya mgongo anataka anioe niwe mke mdogo sasa mimi ile kupewa hzo hela na sijawah hongwa hata ka laki aaaaaah weee nilikimbia😂😂
2026-07-14 21:05:57
7
Qntex King :
KABISAAA kiaziiii changu kipenz
2026-07-14 12:39:06
11
Official Hadrathy 💞 :
Jmn 😂 nitafute kazi tu
2026-07-15 03:56:31
2
speechless 🤍 :
real money
2026-07-14 17:41:59
1
Mimaa👑🖤❤ :
kheee 😁😁ww dada kuhudumiwa ni kwanzia shingapi
2026-07-14 18:24:41
2
rosemary :
Nd Leo jmn namuona kiazi
2026-07-15 13:45:18
1
ms_neyomi :
Sawa Kiazi 😂🤝
2026-07-14 16:54:35
1
Phina Lebahath❤️❤️ :
Sawa kiaziiii umeongea ukwelii
2026-07-14 12:44:52
2
To see more videos from user @hayatuongee, please go to the Tikwm
homepage.