@hassanshaban052: #kenyantiktok🇰🇪 #foryou #trending #viralvideo #tanzaniatiktok

HB🥰
HB🥰
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 14 July 2026 11:55:38 GMT
24781
780
47
45

Music

Download

Comments

nasraty.yasini
Nasraty yasini :
nimeumia sana fitina ni mbaya sana dha
2026-07-14 18:26:52
9
yassirbin01
YASSER :
:Wallah roho inaniuma kinoma yaani hivi kuna swahaba aliyekuwa hajakosea katika uwongozi wake na vipi kama zitatumwa video nyengn za hovy kuhuc mashekh wakubwa je kuna mkamilifu isipokuwa Allah kwa hakika uwamuz waliyofanya ipo siku na saa watajutia hata km siy duniani ila ipo siku yaani daaah wanafanya dini kuwa siasa wallah 🥺🥺🥺
2026-07-15 08:08:25
2
zakumeraiddi
Hamisi Mwazani :
muwache fithna... leongo la kuchanganya picha mbili hizi ....
2026-07-15 09:24:54
2
phirieric
oshuna 👑 muhmd :
wamemchezea gems not true
2026-07-14 19:59:52
2
anu24247
anu :
Bado. tuna. mapenzi. shekh. walidi. huyo. n
2026-07-14 18:44:26
3
denzleproducts
Denzleproducts :
Siku ya leo nzito sana Allah akujaalie subra sheikh wetu🥹🙏🏾🙏🏾
2026-07-14 18:36:19
5
faudhia646
fau❤️❤️❤️❤️ :
nimeumia san sheikh wangu usiache kutupa daawaa
2026-07-14 14:48:09
6
user4805140057150
Hayman luckman :
sheeh wetu walld allah atakulinda nafitna bdo tunakupnda kwauwezo waAllah
2026-07-15 05:45:44
1
mwanaumi.mohammed
ummu salama :
hutu mufti ndio nikawa simpendi hatakusikiliza maneno yake
2026-07-15 05:02:57
1
majigijakakesa
majigijakakesa :
hamuwezi kutatuwa maneno menu birakutangaza ????
2026-07-15 04:06:41
0
kitambulio53
kitambulio :
maneno gani kaongea mabaya mbona sijaelewa hapo
2026-07-16 22:48:05
0
official.razfianst
official razfiansty :
shid nn kwn
2026-07-15 11:36:43
0
fistone56
fistone :
Safi sana
2026-07-14 13:07:24
1
faidhaderua
Faidha Derua :
Tunampenda Sheikh wetu haitajalisha ni nini munataka kumchafua 🥰
2026-07-15 16:34:06
0
somoe.amani
Somoe Amani :
TUJIFUZE KUKINAI JAMANI TUNAKWENDA WP
2026-07-15 05:05:01
0
ukhtyaisha12
ukhtyAisha😘🔥 :
hakuna mwanadam alie kamilika 🙏
2026-07-15 07:30:53
0
zm_jemadari
ZM :
ALLAH AMEKUPANGIA YALIO MAZURI NA ALLAH AKUSWAMEHE ULIPOTELEZA HAKUNA MKAMILIFU ISIPOKUWA YY ALLAH 🤲🤲
2026-07-14 17:12:36
2
ummy.nyuda
ummy nyuda :
jman sheikh wangu nimeumia 😥😥😥
2026-07-14 13:03:30
0
user1583520725848
Mercedes-Benz Ujerumani :
vizur
2026-07-14 13:43:56
0
saididdihewasi
side Dickies :
umbea tyu
2026-07-14 13:11:24
0
anu24247
anu :
I. love. shekh. walid
2026-07-14 18:43:44
1
dangakibunda26
SAMSUNG_AREATZ🇹🇿 :
WIVU TU
2026-07-14 18:35:46
0
user4128132554220
Ebrah :
mzinifu
2026-07-15 05:29:21
0
odindo40
McOdindo :
SI AMEOA WANAWAKE 4 HUYU AMEMTOA WAPI TENA?
2026-07-14 16:46:53
0
majigijakakesa
majigijakakesa :
ivi mnafurahiya kutangaza maneno kama haya kweli
2026-07-15 04:05:19
0
To see more videos from user @hassanshaban052, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About