@cawabemedia_: Balozi wa Tanzania nchini China, Dk. Suleiman Haji Suleiman, ameonya kuwa dawa za kulevya zinaendelea kuwagharimu Watanzania nchini humo, huku baadhi wakitumikia vifungo vya muda mrefu. Amewasihi wanaosafiri kwenda China kutobeba mizigo wasiyoifahamu, akisisitiza kuwa sheria za nchi hiyo ni kali na hazina msamaha kwa makosa ya dawa za kulevya.

cawabemedia
cawabemedia
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 14 July 2026 12:37:33 GMT
61346
1563
55
280

Music

Download

Comments

taherajaffer471
taherajaffer471 :
excellent sir
2026-07-15 09:19:58
0
hassankassimmussa
hassankassimmussa :
nimejifunz huyu balozi anajua jinsi y kuongea kw Diplomasia
2026-07-14 18:34:30
25
trainer_jnr1
Trainer jr. :
Hya wale mliokua mnauriza wale wanaomilki maduka sinza nje wamepaki V8 Alf hata hakuna wateja nadhani mmepata Jibu wamiliki wa hayo maduka
2026-07-14 23:20:03
7
zinjibar46
Zinjibar :
Serikali zetu bwana...yani huyu pia ni balozi kazi ipo
2026-07-15 21:42:06
0
bably5089
Bably :
kwaiyo unga wa sembe hauruhusiwi au?
2026-07-14 22:28:21
2
amani.mathod
Amani Mathod :
balozi mwenye busara....mungu akutunze....akupe maisha marefu.
2026-07-16 04:09:30
3
decory2016.b
decory2016 b :
unga wa sembe ? au madawa ya kulevya ? mana tuko ma vijana hapa wanauliza kumbe unga sembe hauruhusiwi china???? msiongee kwa mafumbo , kuna watu wanafikiri sembe kweli, nawaambia sio sembe vijana nadhan ni madawa ya kulevya hayo
2026-07-14 18:11:27
3
emanuel.lyamuya16
Emanuel Lyamuya :
Unga wa Sembe ni kosa Balozi?
2026-07-15 03:41:50
0
issamshana3
issamshana3 :
wenye masikio tumesikia
2026-07-15 09:28:14
2
user5657578802074
user5657578802074 :
Kwakweli ni mtihani 🥺
2026-07-16 05:24:23
0
mruta.katondo
Mruta Katondo :
bolozi makini sana
2026-07-15 13:59:04
2
eddy.khalifa2
Eddy khalifa :
kaka mungu akupe Kila lakheri
2026-07-15 15:45:43
1
mashaurishabani1
Mashauri phone covers ArushaTZ :
Elimu nzuri sana
2026-07-14 18:16:24
4
jamilabasty
Jamila Basty :
haya kwa wale wenye wanauza vitu bei rahisi halafu wanaharibia wenzao😳
2026-07-15 15:41:37
1
gosbertmethod
Gosbert Method :
aiseeee
2026-07-15 18:15:54
0
kazinikazimotors
kazinikazimotors :
Elimu nzuri saana🙏
2026-07-15 15:24:13
0
user9246766816261
eddy nyanga :
ahsante mhe balozi kwa elimu
2026-07-14 22:10:45
0
muna33274
muna :
shukrani kwa elimu
2026-07-14 17:55:59
6
catherinechales1
catherinechales :
aisee
2026-07-14 19:25:09
1
the01cute
the1cute :
naridhika nilichonacho😳😳hii balaa
2026-07-15 08:17:32
0
kijumbe5
kijumbe💖💷 ♡♧ :
duuuhhh
2026-07-15 10:01:44
0
shaein23
Nassir Nassor :
huyu jamaa yuko sawa sanaaa
2026-07-15 09:53:47
0
ahmadabdalla499
Ahmad Abdalla :
ALLAH awahifadhi watoto wetu inshaallah,
2026-07-15 11:48:33
0
neemakessy30
kessey Swide :
Balozi weka wazi unga ni madawa ya kulevya, tufanyeni biashara za halali jaman
2026-07-15 08:18:49
0
To see more videos from user @cawabemedia_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About