@ngosha_house_design_tz:

👷NGOSHA HOUSE DESIGN TZ
👷NGOSHA HOUSE DESIGN TZ
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 14 July 2026 12:39:24 GMT
91850
2908
50
178

Music

Download

Comments

ma...clarah
ma..clarah🔐 :
kwangu pakiwa hiv...naanza Sasa kua nalala ad saa6..😄😄😄
2026-07-18 14:21:09
3
twende.2020
twende 2020 :
ngosha upo wap
2026-07-18 15:33:39
0
reticiarm_
RETICIA RM ❤️🦋 :
ngosha niunganishe na wateja wa mapazia plz
2026-07-19 10:13:25
1
user9610425290814
Mpangwaaa boy call back me :
nice my brother god work
2026-07-14 18:22:45
1
samsalum621
samsalum621 :
hizi design ni nzuri lakin zinakula sanaa umeme
2026-07-17 10:49:27
1
innotheboy7
INNO the Boy [email protected] :
fire
2026-07-19 11:57:50
0
chibupanama
ChibuPanama :
nikitaka kama hii garama ikoje mkuu
2026-07-18 15:10:11
0
samiraofficial12
En :
nakubali ngosha ni mmoja tuu
2026-07-17 08:58:16
0
psuccess16
Broken Soul🚫📌 :
iyo ni nyumba au club😁😁
2026-07-17 16:25:08
0
fashiongrouptz4
Fashion group tz🇹🇿 :
Hamna shoo mbovu kaka 🫡 salute
2026-07-18 14:58:16
1
masumbuko91
kubingwa :
mpo wap
2026-07-15 21:46:48
0
thapukey..othuman
Thapukey...Othuman :
kama ivyo kwa jumla ni shingapi
2026-07-19 15:19:29
0
chunaa.njira.2
chunaa Njira :
hii nitaweka kwangu hata km nitauza figo😅
2026-07-18 16:07:53
0
daynath58
Daynath🦋🌸 :
Si comment chochote ata msonge sina🤣🤣
2026-07-18 12:04:18
1
user8332610133521
joney :
ukiwa na nyumba ya hivi uwe na wageni wa mara kwa mara ndo utaona uzur wake
2026-07-19 09:49:37
0
user1825676315056
Ash baby :
mm nataka kma hapo ukutan ktk tv gharama yake bei gan
2026-07-17 13:44:40
0
baby.miryam6
Baby miryam :
kaka naomba kaz
2026-07-17 19:27:58
0
manyegule
simba mtoto :
unapatikana wapi bro?
2026-07-17 17:26:54
0
vitalismsalanji
Vitalis Msalanji :
Ngosha ukowapi
2026-07-19 16:20:17
0
janeumusabhatwaab
Jennifer :
umeme wa hapo sasa duuh umeme wa 100,000 haumaliz mwez nachoka mm.
2026-07-19 19:17:25
0
maulidimasanja
Maulidi Masanja@ :
mafundi bana hiyo nyumba nikitu gani mnawashauri wateja wenu hapo sio sehemu ya kupumzika niuchafu
2026-07-17 12:37:40
0
maulidimasanja
Maulidi Masanja@ :
nyumba inakuwa kama basi siungi mkono mbembe zakwenye bar
2026-07-17 12:38:59
0
muba.mziguq
muba mziguq :
hili bas
2026-07-14 14:16:07
1
vannydebosslady
me 💖✨ :
ayo mataa mbona yanaumiza macho😏
2026-07-18 10:04:23
0
zanabuyusufukijac
asha :
👍👍👍
2026-07-14 15:55:03
1
To see more videos from user @ngosha_house_design_tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About