@abdiel_abd: Mashaallah Mashaallah, hongera sana Sheikh wangu, Baba angu mlezi, Mwalimu wangu kwa kuteuliwa nafasi hiyo ya Kaimu Sheikh wa Mkoa wa DAR ES SALAAM. Mwenyezi Mungu akuongoze katika nafas hiyo, Ameen Ameen 🤲#sheiikhabbas

Abdillah💫
Abdillah💫
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 14 July 2026 13:06:19 GMT
12941
862
33
31

Music

Download

Comments

salmamussa41
Mrs Rashid Mang,mbe :
hongera
2026-07-14 17:06:25
0
billalturabi
Billal Turabi :
maa'shallah Allah akuongoze katika majukumu yako mapya
2026-07-15 00:25:25
4
ks1411798
KS :
MashaAllwah, baraka Allwahu feek. M/mungu akusimamie Sheikh ktk majukumu uliyokabidhiwa. Ameen Ya Rabbi 🤲
2026-07-14 13:17:50
5
maest737
n6X🤷🏾 :
Hii heEee sijaielewa naomba mnielimishe tafadhali 😢
2026-07-14 20:28:34
1
zayog8
🌷🦋🌹Z@ynab 🦋🌹 :
Muridy Wa twariqa alqadirriyya ndio tuna elewa hivi vitu
2026-07-15 16:16:48
2
mrs.masdary
Mrs.masdary :
kumbe ni ahlutwariqa mashallah.allah akuongoze ktk uongozi wako
2026-07-15 00:02:42
1
user6002202814556
habiba :
cna cha kucoment hp namuwaza walid tu
2026-07-15 10:10:29
5
user4168080670053
Zuhuraah🦋🐦‍⬛🦜 :
mashallah
2026-07-15 05:38:30
0
alhaj.bey.tz
Alhaj Bey Tz ✨ :
tunao ikubali Twarika Qadiriyya tujuane🥰📿🕋
2026-07-15 12:36:36
4
wakichuu_sudy
Sady :
maashallah Allah barik shekhe wetu wa mkoa
2026-07-15 07:21:14
1
ahlulta
Ahlul twariqa :
hii dunia bila twariqa hakuna dini
2026-07-15 10:47:19
0
salum077
mwingi mtoto 0686998425 :
mashaallah ❤️❤️
2026-07-15 08:17:24
0
saidaljabry5
Said Aljabry :
mashallah
2026-07-15 10:08:38
0
omary.shamsa
Shammy :
mashalla kumbe ni muridi mwenzetu jamani
2026-07-15 04:00:36
2
islamic.foundatio787
Quran it's good way 🧑‍🚀🕋 :
😂uislamu Raha sanh
2026-07-14 13:29:37
2
shamsa.mrishoyahoo
shammy💕💞 :
mmmh!!walid tuuu
2026-07-15 18:01:22
0
mamaaa5447
salma :
Mashaallah
2026-07-15 15:14:52
0
hanskhan49
hassan kawanje :
dah walid
2026-07-14 20:03:22
0
msemo05
Sadah msemo♥️ :
Ndy nin jmn
2026-07-15 22:54:19
0
www.sniphustle
Business man ✊ :
🙏🙏🙏
2026-07-15 08:41:48
0
To see more videos from user @abdiel_abd, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About