@laynmbeng0:

layn Mbengo
layn Mbengo
Open In TikTok:
Region: CG
Tuesday 14 July 2026 13:08:42 GMT
72807
3021
219
287

Music

Download

Comments

jacklina83
Jacklina83 :
Huu ni ukweli,,,Akikusaliti sana na ww msaliti kimya kimya kua bizena mambo yako utainjoy ndoa
2026-07-15 06:25:49
67
marthachaz
marthachaz :
ila hii point
2026-07-15 05:50:26
1
ashambwana233
Asha Mbwana :
asanteeeeee
2026-07-15 13:05:13
0
mmraucollection
mm rau collection :
kumbe turudishe matukio shekh kwann hukusema mapema
2026-07-15 03:09:19
55
florah531
florah :
ahsante baba ngoja nikazae na baba ake
2026-07-15 00:53:33
34
mafiakid44
@mafia gurl :
Asante 🙏🙏
2026-07-15 06:55:45
0
zainafrancoise
ZZheself :
perfect 👌
2026-07-14 14:22:18
0
sudi38192
sudi :
Mmmhh kuna mume ukinyamaza ndio anazidi
2026-07-15 07:06:36
17
mpogolosamoja
esa samoja ✔️ :
mm naon nitauliw kabis nikilip tukio
2026-07-14 20:28:20
14
aishati01
Aishati dor :
revenge is sweet 😋
2026-07-15 08:32:15
6
fasho3062
Fasho :
Mimi uyo bilabila nasikia raha na waubavu wangu😁
2026-07-15 07:35:50
5
rachu3350
rahmalicious💞 :
kwahyo watu waendelee kuzini msiharibu ndoa jmn
2026-07-15 08:42:29
4
dorismtutwa
In God we trust 🙏 :
kama siwezi kupiga tukio nifanyaje Sasa maana Kuna watu hatujui kulipiza
2026-07-15 06:40:07
3
marthaernest819
ummy teey💞 :
aaaah mwenetu muelew vzr shehe, elewa neno tukioo😂
2026-07-15 06:07:03
4
hassanatt123
hasanat hemed :
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 mara 10
2026-07-14 19:57:02
0
ireenmalle
Self Love :
baba babaaa utatuponzaaa😂😂
2026-07-15 07:40:42
0
ejaybeaty
E-jay beauty :
umeanza kutoa siri😅😅
2026-07-15 09:25:56
2
nasra202072
nasra :
Hiyo nimeipenda mnoo…
2026-07-15 03:41:08
2
pascolinamgwabi90
Pascolina Mgwabi :
humo humo hata mm nimepiga tukio mtu na bado
2026-07-15 04:35:26
2
aminajuma06
aminajuma06 :
nakubaliana nawe kaka
2026-07-14 16:52:10
4
peaceruge7
priscy ✈️💸 🦋🇧🇮🇰🇪🇹🇿 :
tena sio tukio piga tukio kubwa la kid uniambie kabisa😂😂😂😂
2026-07-14 17:18:54
3
hawa.haji1
Hawa Haji :
mimi nimepigwa tukio na nikaachwa na nimemuachia ALLAH yeye ni hakimu wa mahakimu na yeye ndio anajua hukumu ya kumpa
2026-07-15 09:18:46
1
ariamselya05
syteh :
hata mm tukio jiandae
2026-07-14 20:17:31
1
To see more videos from user @laynmbeng0, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About