pole paka nimelia sio pekeako hata mm nikitak kwend nyumban na waza sana
2026-07-15 14:18:41
1
neem :
ni mda sana nimewapoteza wazazi wangu nalia Kila itwapo Leo na ndgu wa baba yetu waliweza kutupokonya Kila kitu ila Mungu ni mwema sote tuko salama japo inauma sana😭😭😭
2026-07-16 08:12:05
0
user24024190945116 :
Huu wimbo ni hatari sana
2026-07-14 18:20:38
0
To see more videos from user @ney78794, please go to the Tikwm
homepage.