@kipaza_afrika_mashariki: 🇹🇿 Dereva Ahmed Huwel amemaliza nafasi ya pili katika Rwanda Mountain Gorilla Rally, huku pia akiweka rekodi ya kuruka umbali mkubwa zaidi kwenye moja ya hatua za mashindano. 🔥🏎️ Je, unaamini Ahmed Huwel ana uwezo wa kutwaa ubingwa wa Afrika siku zijazo? Tuambie maoni yako kwenye comments. 👇🇹🇿 #AhmedHuwel #Rally #ARC #Tanzania #Motorsport #KipazaChaAfrikaMashariki
Kipaza cha Afrika Mashariki
Region: NL
Tuesday 14 July 2026 14:03:07 GMT
Music
Download
Comments
godsign :
kabila gani uyo huwel maana msituambie tu mtanzania
2026-07-15 12:43:07
2
Muchiku :
let's go tanzania
2026-07-14 17:51:32
1
Lorenzo D Carlo :
2026-07-15 22:31:45
1
Jacob Stephan Stephen :
alitanga kuacha huyu mwamba kipindi Alikuwa na Mitsubishi Evo 9 yenye body ya Subaru
2026-07-15 20:53:53
0
wales :
hiyo gari anayoendesha kwenye hayo mashindano sio chini ya milioni 50 atcha kushinda kweli mandalizi mazuri na matokeo mazuri
2026-07-15 21:15:24
1
Hasheem Beimoja :
unatuchora tumewakilishwa🤣🤣🤣
2026-07-16 05:51:33
0
Salmin Ghaid :
mkwawa. oyeeeee
MUNGU IBARIKI TANZANIA 🇹🇿♥️
2026-07-20 10:59:31
0
Sultan Salim :
inshaa Allah next time atakua wa kwanza ata inua juuu bendera ya Tanzania
2026-07-15 20:37:17
1
shamiiy :
mashalkah
2026-07-16 12:39:26
0
Simeon mogravic 🪖🪓 :
🤣🤣 unajua nacheka kwanini
2026-07-16 19:56:25
0
CHEF DULLAH,GOD forever ♥️ :
hongera sana boss huweri
2026-07-14 17:39:41
0
imran :
mkwawa anawakilisha mkoa wa iringa katika Tanzania
2026-07-15 12:57:14
0
叉车t🇹🇿 🇨🇳 :
mtanzania mbona kama muhindi 😂
2026-07-15 11:11:24
0
zewe123 :
kasahau kusema mama anaupiga mwingi😂
2026-07-15 12:18:55
0
Abdul azizi :
kadudu a.k.a Toyota Yaris GR sport
2026-07-16 08:52:41
1
Aisha🇹🇿🇳🇦🇺🇲 :
🥰🥰🥰
2026-07-15 03:47:00
0
Simmy_magari Car dealers :
@muddykiduku
2026-07-15 14:49:55
0
To see more videos from user @kipaza_afrika_mashariki, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.