@gypsumgang: Katoro🤣🤣🤣

Babaz wa babaz
Babaz wa babaz
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 14 July 2026 14:40:08 GMT
83239
3174
140
171

Music

Download

Comments

mtoto.wa.mkunga
mtoto wa mkunga🥰🙏 :
ntft rfk🥺🥺
2026-07-15 04:59:22
0
riziki.hamis
Riziki Hamis :
nikajua ni kwenye sherehe tu kumbe hadi kwenye nyumba katoro mko mzuri
2026-07-14 19:43:34
55
sanileralex986
sanilexa :
jamani ebu zingatieni urefu toka chini kwenda juu kwenye nyumba
2026-07-15 03:28:05
10
florenciahashimu
Mom Kylie :
Watu wanaish 😅wengine tunaishia
2026-07-15 05:25:09
3
candystoretz1
Storehouse Tz :
Nyumba ninayokaa siipendi
2026-07-14 20:23:02
18
user882819529
Mama3G :
nilijua na tv itakuwa ndefu ad juu
2026-07-15 05:16:34
1
wanyongee.tz
wanyongee tz :
noma longinee
2026-07-14 20:41:55
0
yussufabeid4
yussufabeid4 :
Nabi Suleiman alikua na utajiri hta robo ya matajiri wote wadunia hawajamfikia so asvi yuk wapi tuskimbiliee tu Mali kikubwa uzimah na afyyaa na kushukurr Na kupambambna bs Kila kitu ni test tu nimma kuonjah tu Dunia sio makzz yakudumu
2026-07-14 20:12:23
7
awelove7
salha :
jaman kile kibanda changu sinikivunje natia aibu😂😂😂😂😂
2026-07-15 05:13:52
0
francsony24tz
francson :
sasa hapo ni hatuangalii tv bali tunaona tv💯
2026-07-14 22:44:16
3
__hellen26
Hellen paulo :
Zungisha camera tuone na jiko. Fanya tour
2026-07-15 04:23:18
1
user9993970533844
Mandy :
Katoro oyeeee 🔥🔥🔥🔥🔥
2026-07-15 05:26:31
0
user1480576576735
mariam Emmanuel :
jamani mungu nibariki na mimi nataka niwe bilionea
2026-07-14 21:28:45
0
nyamburasiwa597
Nyambura Siwa :
wasukuma wana sifa nimekaa nao hao
2026-07-15 05:46:37
0
ramadhanimakame15
Ramadhani Makame :
Sasa do Nini wap hapo cinema au ww ushaona wap myumba ya tajir tivii ina kaa hapo kipo chumba maalum kwaajili ya kutazama tv hapo wap oficini au
2026-07-14 21:13:30
0
imm_tz
FHM :
Acha kudanya watu iyo ni mbezi beach St Mary broo
2026-07-14 21:23:47
3
_2latha02
Latha❣️ :
Nyumba ya ndoto yangu kabisa 🥰🥰🥰🥰
2026-07-14 16:24:43
2
user9326007124660
joainaa :
kila kitu cha apa dunian tutakiacha ata siumii😅😅
2026-07-15 05:04:17
0
user2566265542000
Delick :
hii ni nyumba ni safina
2026-07-15 06:13:01
0
fettyhairdresser
Fetty wa Tunduru :
kho si kuwe na derby ya katoro na dar eti matajiri😁😁😁😁😁ili tuendelee kukenua meno sisi masikini
2026-07-15 05:21:46
0
nunurz
Joan🦋🌺 :
Watu wanaishi bhanaa🥺🥺🥺
2026-07-15 05:06:17
0
user82442186393575
khadija 😍 :
duh aisee
2026-07-14 19:54:03
0
To see more videos from user @gypsumgang, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About