MIAKA HIII MNACHIMBA KWA RAHA ENZI YANGU APOLO MOTO HAKUNA HIII
2026-07-14 16:52:22
37
矿晶批发 :
矿井Be careful in the mine work. Every piece of ore is hard-won
2026-07-18 13:28:56
2
Kenny_dady :
opec,block D,daaah,zamani sisi ni mwendo kamba na ngazi kwenye norinda na baadhi ya miserereko,tochi za bati ukiwa na Ile pasati ya plastick unaitwa mkula,maisha yamebadilika from analog to digital,kila lakheri makamanda wote hapo🤝🤝
2026-07-15 19:40:55
14
Estokiz :
God protect this guy's
2026-07-15 16:30:24
5
💜💜💜 :
wee maisha tu nichangamoto kwa kweli
2026-07-19 12:57:13
3
kareem :
Hewa huko ndan ipo kwel?
2026-07-15 19:46:47
8
Habib Abdul455 :
Tanzanite from the earth to your heart 🔥🔥
2026-07-15 04:05:10
5
Anniekekuu1 :
Familia 💪
2026-07-15 18:53:49
4
Msenegal🇸🇳 :
nakubal wazee wa kaziiii
2026-07-19 19:03:11
4
tifaa :
mmmh me adi nimeogopa
2026-07-16 14:35:59
1
john seleli :
utajiri wa madíní unàuona, uhai wa mtu uko mikoñoni mwa mungú, katika nmna ya kazi za míkono yetu, ndipo mafanikio yalipo.
2026-07-16 09:37:01
9
J boy :
Kwa nani hpo porini naona 🥰🥰🥰
2026-07-14 20:04:42
7
gaucho boy :
Nakubali apollo
2026-07-17 16:55:07
1
allynkusa :
poleni apolo wng mmenikumbusha
miaka mingi sana hapo opec
2026-07-15 11:53:43
10
Trainer jr. :
Nawezaje kuja huko kupiga kazi naomba kujua utaratibu
2026-07-14 23:41:53
8
heispogy :
Apollo moto
2026-07-16 09:48:51
3
kym :
nawaza nikiingia kkoo majengo ya chini hyo hewa ilivyo nzito je huko😊
2026-07-16 19:14:45
7
wille outfit :
hii no mbaya wakuu
2026-07-14 19:15:44
6
Daty :
kunatisha jamani
2026-07-22 01:56:12
1
user4923228413811 :
mkoa gan huu nawasikiia macharie 😂
2026-07-20 19:07:30
1
Angel Edwin :
hizi ndizo Kazi za kiume , sarutiiiii, ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
2026-07-18 00:45:28
1
☠☠yxph☠☠ :
bila kuchoka familia
2026-07-15 18:01:44
4
&mâmɛn-mnaraa🗼🗽 :
kwa walio kaza
2026-07-15 17:00:46
4
To see more videos from user @mikegold369, please go to the Tikwm
homepage.