commnt yng imewasili tyr ila Lissu anateseka sn hili sio saw kbs
2026-07-15 04:56:41
0
barakabenny :
aliingia Chadema kwa kazi maalum shame on him
2026-07-14 18:35:03
1
sapwito :
Tamaa mbaya.
2026-07-14 18:15:29
1
Nyagali Nyalawi :
Kumbe ameshikiliwa na Rais na si mahakama?
2026-07-15 06:43:44
2
Che route :
Muacheni atimize miaka 27 kama Mandela na akitoka ataikuta CCM inatawala na yeye akitoka hawezi kuwa raisi wa Tanzania 🇹🇿 kamwe
2026-07-15 11:41:47
0
godwin :
mazungumzo ya kawaida mara nyingi hayaleti tija lazima kuwe na namna ya mazungumzo yenye tija
2026-07-15 09:54:31
0
Geoffrey Yusuph :
basi liishe kimahakama ili tujue Kati yake na serikali nani hakuzingatia Sheria,
2026-07-15 08:49:01
0
Mkush :
rais amuachilie kama nani ili hali shauri liko mahakamani!? kwa nini mahakama isimuhukumu kwa ushahidi uliopo mpaka muanze kumlilia rais amuachilie!? sisi watanzania wa leo ni watu wenye akili timamu
2026-07-15 07:42:10
0
daniel :
N KWEL KABISA NAKUUNGA MKONO👍👍👍👍
2026-07-15 09:52:42
0
Chris Mushi :
biashara ya siasa
2026-07-15 06:14:25
0
drop exclusive :
mbn kama mzee ana point
2026-07-15 07:12:14
1
james :
baba tamaa, mbaya
2026-07-14 18:23:13
0
Majays :
Huyu mzee ni hasara sana kwenye Taifa
2026-07-15 07:14:14
1
rukia :
nami nikimkuta mkaka njian naolewa nae bila kuzungumza