@dr_lizynaafyayako: UUME wako unalegea kitandani? Siri ya Karafuu, Magome ya Mdalasini na Kitunguu Saumu Itakustaajabisha..! —Iba siri hii ambayo kila Mwanaume Anaitafuta.🩺 Mahitaji ya Muhimu kuandaa Sharubati yako ukiwa nyumbani....👇 1. Vijiko 2 vya chai vya karafuu AU Punje 12. 2. Vijiti 2-3 vya mdalasini wa magome (au vijiko 2 vya chai vya mdalasini wa unga) 3. Vitunguu saumu viwili. 4. Vikombe 2 vya maji 5. Asali, iliki na limao (Hiari, Kuchagua)... Hatua za Muhimu za kufuata katika Maandalizi...👇 ↳ Hatua ya 1... Ponda kidogo vitunguu saumu ili kutoa maji yake. Usijali juu ya harufu yake itapungua taratibu unapochanganya na viungo vingine. ↳ Hatua ya 2... Weka karafuu, mdalasini, na vitunguu saumu kwenye sufuria ndogo yenye vikombe 2 vya maji. ↳ Hatua ya 3... Chemsha mchanganyiko huu, kisha punguza moto na uache uchemke taratibu kwa dakika 10-15. Hii inaruhusu virutubisho vyote kuingia kwenye maji. ↳ Hatua ya 4... Chuja chai kwenye kikombe. Ikiwa ladha inaonekana kali, Unaweza kuongeza kidogo asali au matone ya limao ili kuifanya iwe tamu zaidi...(Usitumie sukari) Jinsi ya Kutumia Sharubati yako kupata matokeo sahihi...kwa wakati sahihi...👇 ↳ Kunywa chai hii mara mbili kwa siku, asubuhi au dakika 30 kabla ya kulala usiku. ↳ Muhimu ni kuwa na mwendelezo, Tumia kila siku kwa siku 7 kisha Stop. Utagundua tofauti. ↳ USIWEKE sukari. Ikiwa huna asali mbichi, kunywa kama ilivyo au weka limao. Hii si suluhisho la haraka. Inafanya kazi vyema baada ya muda fulani... Faida au Manufaa ya Matumizi ya Sharubati hii ukiwa nyumbani kwako... ↳ Karafuu na mdalasini huongeza testosterone hormone kwa stamina na nguvu imara... ↳ Kitunguu saumu na karafuu huimarisha mzunguko wa damu, hivyo kutoa nguvu za kudumu zaidi katika tendo... ↳ Mdalasini na karafuu hutuliza mishipa na kuongeza stamina katika uume legelege wakati wa tendo 🍆 la ndoa... ↳ Kitunguu saumu kina enzyme ya nitric oxide synthase (NOS) inayochangia kwa kiasi kikubwa kuamsha nguvu nzuri za kiume zilizopo ndani yako. NB: Hii ni tiba yenye nguvu bila madhara yoyote yale..... Unaishi maisha yako kwa mazoea kwa sababu hujui unachopaswa kufanya katika afya yako ya uzazi. Na ndiyo maana asilimia kubwa ya wanaume wanaishia kutumia madawa ya booster. Soma vitabu fanya mazoezi "Live Intentionally" ili kubadilisha mitindo mibovu ya maisha ikiwa ni pamoja na ↳ Tabia zako, ↳ Ratiba yako ya kila siku, ↳ Mtazamo wako wa kifikra, ↳ Kuwa mwenye nguvu na nidhamu. ↳ Kujipenda ↳ Kujijali Je, Uko tayari kuacha mazoea ya kusaka dawa za booster na kuanza safari ya kuijenga nguvu yako kutoka ndani..? Je, Unaweza kujiuliza kwa dhati kama tatizo lako ni mwili pekee, au pia ni swala la Kisaikolojia..? Je, Upo tayari kuwekeza siku 7 tu, ili kuanza kuona tofauti halisi bila kujiua kwa sumu ya vidonge...? Wanaume wote, Tukutane kwenye program Tiba Leo, comment neno "PROGRAM TIBA" 👇 NIKUSAIDIE. Call 0799695777 au wasap 255719881752 #fyp#oman #tanzaniantiktok🇹🇿 #nguvuzakiume#usa
Dr Lizy uzazi
Region: TZ
Tuesday 14 July 2026 15:35:40 GMT
Music
Download
Comments
kumchaya zizuu :
vikombe vya maji vya ujazo gani
2026-07-18 16:15:45
1
Abbynel :
hakika nimeielewa sana nilivyo isoma sasa nitaanza kwa matumizi pili nitakuja na jibu
2026-07-16 15:31:07
1
Ali shabani :
kwa siku mara moja ama mara mbili
2026-07-17 13:18:25
1
juma ame :
asnt dada🥰
2026-07-17 18:02:31
1
Engineer :
progam tiba
2026-07-16 10:16:35
1
To see more videos from user @dr_lizynaafyayako, please go to the Tikwm
homepage.