shekh wetu Allah akupenda ndio kakutoa kwenye lile shimo endelea na kutuongoza katika njia y haqi ya ilmu y allah
2026-07-15 06:07:41
3
TEAM SIMBA BAMBURI :
Allah akuhifadhi shaikh wetu twakupenda sana kwa darsa zako umetubadilsha sana
2026-07-15 08:31:39
2
Aisha ally :
mimi nashindwa ata lakuandika ila mwenyezi Mungu ndiye anae jua zaidi Mungu akupe subra katika hili
2026-07-15 10:35:35
2
salmaabdalla4559 :
Mwenyezi Mungu atakuhifadhi ndugu yangu
2026-07-15 05:50:23
1
Mpozenzi david :
sasa kafanya nini??
2026-07-15 21:02:51
0
KIbibi Kassimu :
kabisaa ndy anae kuuwa kweliii
2026-07-14 20:52:30
2
Zawadi Elias :
2026-07-15 20:15:39
0
Mo J Sendekwa :
nakukubali shekhe wangu mungu akubaliki kwenye Mambo yako
2026-07-14 22:44:16
2
yusuph jumanne issa :
ilaa shehe ulimpata wapi yule
2026-07-16 16:50:12
1
allysalum867mtz" :
mwenyezi akupe umri mrefu
2026-07-15 21:47:18
1
user1 :
Sheikh aliona mbali
2026-07-16 05:35:57
0
Masoud Mdeka :
Allah akupe shifaa
2026-07-15 22:04:09
0
NASFRANCIS :
nikweli kabisa shehe hujakosea kabisa ila sikusote nabii akubaliki kwao baba
2026-07-15 18:59:44
1
rajabu :
mim imenium San duuh alla akupe subr
2026-07-15 15:55:50
0
Mussa Omary :
kweli kabisa
2026-07-17 21:35:36
0
jumaaMartin14 :
Naongezea hapo shekhe wangu wazuri wanaonekana wabaya na wabaya ndio wanaonekana wazuri dunia ya sasa.ndipo mtume mmohammad SAW akasema muongo ataonekana mkweli na mkweli ataonekana muongo. na alie vaa ataonekana yuuchi na alie kuwa uchi ataonekana amevaa kipenzi cha uma alisema hivyo.Nakuombea kwa alah akupe subira na uvumilivu na akuepushe na kashifa na hasadi insha Allah🤲🤲
2026-07-17 20:27:06
0
alisuleiman000 :
inshallah Allah atasmama na ww
2026-07-15 17:11:20
0
user57137683253277 :
Allah akupe subra shekh Walid
2026-07-15 16:27:52
0
aisha issa :
hakika ulimwengu huu dah
2026-07-14 19:02:29
1
To see more videos from user @idrissbentas, please go to the Tikwm
homepage.