@prophetipm:

@Prophetipm
@Prophetipm
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 16 July 2026 12:00:00 GMT
120506
14292
139
203

Music

Download

Comments

winnie.297
cute_winnie.001 :
amen thanks lord🙏🙏
2026-07-18 17:12:07
0
johnpeter4752
John Peter :
ukiota analia inamaana gani?
2026-07-16 18:00:04
16
wynex_photography
WYNEX PRO 📸 :
Appreciate San unanifundisha San 🙏Asante San
2026-07-16 12:16:58
26
timothemusali001
Timothe Musali :
pasta Nami nili Ota ndoto usiku wa leo nanime pata franc
2026-07-17 06:05:36
1
samlaizer0745
sam laizer :
mm mamangu pia kafa lakin namuotaga anakuja ananiambia usjali kwaayo unayo pitia niko pamoja naww nalia naamka nimelia yaukweli
2026-07-17 19:15:32
4
otiel09
mama dada :
mm wangu anakuja mtu akinikwaza n nkilia saana next day ntapata pesa mingi saana from no where it's true
2026-07-17 06:24:31
3
gianna.mah
I'm blessed 🙏😇 :
Mimi alikuw ananifata tunaondka wte 🥺tukifka mahali ananiacha🤌🥺nabaki mwenyew🥺🙌
2026-07-17 15:15:26
2
halimamishi4
✨⭐blessing girl ⭐✨ :
mama kazi akija ananipa pesa na KUNIAMBIA nitunze WADOGO ZANGU na sina pesa ata Mimi nakipitia Sana sasa nashindwa ziko wapi hizo pesa kazi nafanya ila Sion FAIDA kwa biashara yangu kabsa
2026-07-17 07:38:39
3
antianawilliam
Antiana William :
amina baba yani ni mim kabisa
2026-07-17 17:23:52
1
isaisa.hazal
magCrochet😜 :
sitaisahau hii siku mungu alinipa mapacha siku wanatimiza miezi mitano kamili waliiugua san na baada ya siku tatu mmoja akafariki yaan nipo hospital namuuguza mwingine nyumban kuna msiba wa mtoto wangu mwingine 😭😭😭 sitaisahau hii siku
2026-07-16 22:57:36
4
abeli.idumba1
Abeli Idumba :
ata mimi baba ana nauliza sana
2026-07-16 19:20:16
3
annagerald140
Anna Fashion & beauty❤️ :
Mmh sasa nafsi itakua ina hangaika
2026-07-16 13:01:26
2
dimielakilimali
Mrs Dimiel 🥰 :
prophète nami nisha ota babangu mara tatu kwa izo tatu aliniambia nimu saidiye kulima Nika mwambia naumwa nikaona ana nitia sérum aseme nipone
2026-07-16 19:02:48
2
kaserekanostalgmail.com
2KLN🥷⚔️ :
kweli ya kweli
2026-07-16 12:19:26
4
tiktk486
stene one :
mimi jaman mwaka wa tatu huu Huwa namuota san Kuna mda namuota tunapiga story mda mwingine namuota namuokoa sehem mda mwingine anauhuzuni
2026-07-17 06:31:11
1
raghav.raw1
Raghav Raw :
Ni kweli
2026-07-16 12:12:16
4
innocentg950
innocent g :
Amina
2026-07-17 11:34:20
1
kevin.mgawe
Kevin Mgawe :
prophet ipm Kwa nn wazaliwa wa kwanza wengi hawafanikiwi kimaisha katika mapambano Yao ya kimaisha? naomba uongelee hili mtumishi wa mungu
2026-07-16 21:22:59
1
zabibu_jerome
Zabibu_jerome🍇 :
mimi kila nikiota ndoto yoyote lazima itokee live ivi hii imekaaje jamn
2026-07-17 11:36:59
2
yuridapoz
yuri 🇶🇦🇶🇦🇶🇦 :
I'm from Kenya but mama aliaga nikiwa nikiwa 8 years tukiwa watoto wa nne na akifa ndugu mukubwa alikuwa darasa la nne after 16 dada yangu na Sisi hakuna mtu alikuwa hata na nyumba sikubmoja mama ananiambia kwa ndoto nenda utoe tofari pahili ilifunikwa na mchananga kuna madawa ndipisa mutafaulu na militia mungu akafungua njia ones. roho ya MTU haikufi
2026-07-17 02:41:20
1
merina.ngowi
Merina Ngowi :
mm namuota mama yangu analia
2026-07-16 22:49:49
1
posh.boe
POSH BOE :
Really 😳😳😳
2026-07-16 12:04:41
3
user7818680740091
Cutelinakidoti🙏 :
Daaaa mungu mlaze mama angu maharapema peponi mwenyezi mungu naomba niongeze nitunze vyemaa wadogo zangu na mwanangu daaa nikikumbua hii siku najifungua mama angu anatoweka daa inauma sana 😭😭
2026-07-16 21:04:28
2
user3894798261021
proud single mother :
niko na ndoto nimeota kuhusu bibi mama na mamdogo tena wote wamefariki naweza kuongeya na wewe kuhusu iyo ndoto unatafsiriye
2026-07-16 18:44:40
2
jk.official55
ChichY Amo :
ni comment wa kwanza au niache ?
2026-07-16 12:14:38
2
To see more videos from user @prophetipm, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About