naogopa mimi jqmniiii mungu nitunzie mama anguuuuuu
2026-07-15 16:04:48
10
Jojotz🦋 :
wazazi wanauma jamani, msiba usikie kwa jirani usiombe yakukukute, Rip my mom, dad and son
2026-07-15 09:03:58
4
Remigius Godifrey :
eeeh MUNGU nilindie mama yangu, nampenda sana
2026-07-15 10:22:55
4
camila Mmari :
Nakumbuka nilikufa ganzi mwili mzm nikaganda kama sanamu, sasahv ndio najifungia ndan nalia kama huyu kaka, jaman dah pumzika kwa aman mama na baba yangu
2026-07-15 17:45:38
2
Veronica j33 :
jmn hyu kaka poleni sana😭😭😭😭🤲
2026-07-15 11:49:47
1
zaina Bakari :
pol san kaka ang
2026-07-15 12:23:28
1
odethakilumile :
pole sana kaka angu
2026-07-15 10:15:08
1
ziza zizu :
ningekuwepo ningembembeleza jamani
2026-07-15 12:25:37
1
Conscious mom :
kufiwa kuskien jaman
2026-07-15 08:03:52
1
user4021481385458lucila john :
mungu akutie nguvu
2026-07-15 05:22:34
1
babyliz :
dah! uchungu sana poleni sana mwee😭😭
2026-07-14 19:08:44
3
groly Jacob :
poleee sanaaa jamnii 😭😭
2026-07-15 06:43:33
1
Rukia :
pole sana 😭😭😭
2026-07-15 05:38:39
1
Ummu Biriani :
lia lia hasa ila maumivu ya kumpoteza mzazi hayawezi isha Allah awape subra 🥺
2026-07-15 04:40:23
10
user21844594342017 :
Pole sana
2026-07-14 19:45:30
2
Mrs Dominic 😘 :
pole sana
2026-07-15 03:52:37
1
user4021481385458lucila john :
pole sana jaman
2026-07-15 05:22:21
1
Emmy Da Qute❤️ :
Daaahh jmn
2026-07-15 07:06:35
1
mariam Lameck :
pole
2026-07-14 21:14:31
1
user16166605272934 :
kweli mm ni wa kulia hiv😭😭😭😭😭😭😭😭
2026-07-15 06:11:09
1
To see more videos from user @rehemambugulu, please go to the Tikwm
homepage.