@islamic_rihla: Ndoa yenye furaha haijengwi kwa kutaka kupendwa pekee, bali kwa kuonyesha upendo, huruma na kujali kwa vitendo. Mtume ๏ทบ alikuwa mfano bora wa kuwatendea wake zake kwa upole, heshima na mapenzi. ๐๏ธ Mzungumzaji SHEIKH ABDULRAHAM BAKARI MHINA ๐ฑ Usiache kheri iishie kwako. ๐ค Shiriki video hii, huenda ikawa sababu ya mtu kujifunza namna bora ya kuishi na mwenza wake kwa mujibu wa mafundisho ya Uislamu. โค๏ธ Like โข ๐ฌ Toa maoni โข ๐ Save โข ๐ค Share ๐ฃ Follow | Share | Save Islamic Rihla โ Safari ya Imani #islamic_rihla #islamicvideo #uislamu #islamic #islamic_rihla ๐ FOLLOW US