@ommyfitness: Misuli si kwa ajili ya nguvu na mwonekano mzuri pekee. Misuli ni muhimu kwa: -Kudhibiti kiwango cha sukari kwenye damu. -Kulinda mifupa na viungo vya mwili -Kupunguza inflammation mwilini -Kuongeza kasi ya uchomaji wa nishati (metabolism) -Kurekebisha uwiano wa homoni -Kuongeza mwitikio wa insulin kwa personal training WhatsApp/Call 0628908800 . #ommyfitness #trainerwataifa