@chiefannex: SIKILIZA UCHAMBUZI ULIOSHIBA HAPA NDIO UTAJUA UISLAM NDIO DINI SAHIHI

๐—–๐—›๐—œ๐—˜๐—™ ๐—”๐—ก๐—ก๐—˜๐—ซ
๐—–๐—›๐—œ๐—˜๐—™ ๐—”๐—ก๐—ก๐—˜๐—ซ
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 14 July 2026 17:28:56 GMT
19025
964
72
183

Music

Download

Comments

mazima54
Mazima54 :
Yohana 16:23 [23]Tena siku ile hamtaniuliza neno lo lote. Amin, amin, nawaambia, Mkimwomba Baba neno lo lote atawapa kwa jina langu. And in that day ye shall ask me nothing. Verily, verily, I say unto you, Whatsoever ye shall ask the Father in my name, he will give it you.
2026-07-15 05:56:31
0
jumacharles3821
Juma Charles :
Absolutely
2026-07-15 09:01:17
0
user4387907169109
white in the dark :
hakika Leo nimekutana na elimu kubwa isiyo na kelele bali imejaa point mungu akuzidishie elimu
2026-07-14 18:04:14
12
user3234365986556
Wonder VG :
that's a fact
2026-07-15 04:26:43
0
ev.mossesmnazareth
Ev.mossesmnazareth :
jaman tusome
2026-07-15 08:45:53
1
user2171183542766
user2171183542766 :
uyu mwalimu anamadini ya faida sana mana anajuwa kuitafsili vizuli bibliya
2026-07-15 06:35:45
2
isack6873
Isack :
mashaalaha Mungu akuzidishie fahamu
2026-07-15 08:08:18
1
vyamos
Mossini Vyamana :
Allahu Nnuur
2026-07-15 04:54:35
1
samsonc875
Samson ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ฑ :
Wakati wanaandika Ulikuepo
2026-07-14 18:02:09
1
michaelmhagama291
mzabibu news :
yesu ni mungu Kwa sababu alizaliwa Kwa roho
2026-07-15 04:56:59
0
tweny.two7
tweny two :
yohana moja ni ufunuo ambao yohana aliuona
2026-07-15 10:29:16
0
fatimamashaka7
HAPSA IZUVA :
TAKIBIRIIII๐Ÿคฒ
2026-07-14 19:37:34
1
suleyman.mussa36
Suleyman Mussa :
Yaaah ustadhi wangu wewe ni genius kweli ๐Ÿ‘
2026-07-14 18:48:24
3
kakule.wasi4
Kakule Wasi :
mwalimu yatangu zamani kwenye kitabu tsa mwanzo 1:
2026-07-15 09:54:44
0
user9596977387296
Star โญ Boy :
kiongoz usiache kuweka mundelezo
2026-07-14 23:13:59
1
budison_19
budison_19 :
ukweli mtupu usioweza kupingika.. Mashallah
2026-07-15 09:12:38
0
ayubkiberenge
ayubkiberenge :
Roho mtakatifu ni kiongozi wa uandishi wa Biblia
2026-07-15 06:44:31
0
mzee.wa.kibunda
mzee wa KIBUNDA :
aliwafundisha kusali sio kuomba, yesu ndio njia ya kweli na uzima mtu haendi kwa baba bali kwa njia yake,
2026-07-14 20:34:55
1
abdulazizykachinda
Abdulazizy Kachinda :
sheikh ahsante sana
2026-07-15 06:13:06
0
abuadnazmin
abuadnazmin :
Ahmed Defeat Rahimullah alisema kwamba Mwanzo wa Bibilia tayari wamefeli. Haiwezi neno likatangulia mwenye kunena. Ni miaka toka niskize hiyo video yake , leo hii Sheikh kimweri yuwaja litamka tena. Ama kweli Great Minds Think Alike. Asalam alaikum warahmatullah wabarakatuh
2026-07-15 03:56:35
0
yahu_natan_amon
Jo_nathan_amon :
TAFASIRI KWA AJILI YAKO NA SI KWA AJILI YA WENGINE Mithali 16:20 (Biblia Takatifu) Atakayelitafakari neno atapata mema; Na kila amwaminiye Bwana ana heri.Isaya 55:11-12 (Biblia Takatifu) ndivyo litakavyokuwa neno langu, litokalo katika kinywa changu; halitanirudia bure, bali litatimiza mapenzi yangu, nalo litafanikiwa katika mambo yale niliyolituma.Maana mtatoka kwa furaha, Mtaongozwa kwa amani; Mbele yenu milima na vilima vitatoa nyimbo; Na miti yote ya kondeni itapiga makofi.
2026-07-15 09:31:52
0
mister.counsellor
mister counsellor :
kweli kunaumuhimu wakufuatiliq maandiko kwamapana yake lakini ukikaririshwa huwezi elewa jambo
2026-07-15 06:51:49
0
user2192818554387
Mr Sanane :
mfano theofilo kasisi wa kirumi aliandika kitabu Cha Luka na matendo
2026-07-15 06:06:18
0
teloawor
Telo Awor :
Asanteh
2026-07-15 04:50:05
0
small.kii
small kii :
Yesu Mbona alisema mwenyewe kwamba nalikuepo kabla ya abraham ๐Ÿ“Œ
2026-07-15 06:45:29
0
To see more videos from user @chiefannex, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About