@akismediatz: Shekh Mkuu Ameudhalilisha Uislam #Mwamposa #MwamposaTiktok #NabiiMwamposa #MwamposaPower #MtumeMwamposa 🇰🇪 🇹🇿

AKIS MEDIA
AKIS MEDIA
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 14 July 2026 17:43:09 GMT
40759
1000
152
74

Music

Download

Comments

amor95042
ALMAZ ROMA ALEM :
someone is speaking facts very true walikosea everyone involved
2026-07-15 16:16:28
0
jubilate.shao
jubilate Shao :
Bwana yesu asifiwe
2026-07-15 05:47:48
16
josephngambiye
Joseph Ngambiye :
Iv nyi Mamb yenu Huwa hayaendi bila kuwataja Wakristo?
2026-07-14 18:47:10
18
khadijakuluge
Khadija Kuluge :
shekhe yngu mwaipopo umeongea vizuri sanaa
2026-07-14 17:52:43
15
comedown16
user5918386175867 :
Tumsifu yesu kristo
2026-07-14 21:16:51
10
shamruba
Shmruba :
kwel kabisa kunamambo ya ftina yanaendelea chini chini
2026-07-15 05:11:56
4
user9783290479831
be :
Hapana hajadhalilisha Uislamu kama ni kosa kafanya yeye kama mwanaadamu Uislamu hauhusiki. Kila mwanaadamu ana mapungufu yake
2026-07-15 09:47:49
5
dada.mkubwa81
DADA MKUBWA💞💞🇹🇿 :
uislam hausiani na tabia za mtu ,dini itabaki dini na mtu ata sinama kama mtu ,shekh kukoseac uislam ,, najivunia kuwa muislam,
2026-07-15 05:14:35
2
user3475623365373
user3475623365373 :
shekhe ameudhalilish uislamu anatakiw haombe msamah
2026-07-15 04:06:26
1
marison003
R. :
Kweli shekhe anamakosa
2026-07-14 20:30:54
1
user720810362545
Ayatollah :
Masheikhe wazinifu si uko Tanzania ata uku Kenya , wengine wanafira kabisa cases nyingi sana
2026-07-15 07:38:19
0
user1781541766987
user1781541766987 :
umeongea point
2026-07-15 13:58:09
1
samsonhumbe615
Samson Humbe :
Mkono kwa Yesu Kristo mwokozi wetu muokoke
2026-07-15 17:16:45
2
madame.g22
madame G😘 :
ndio mjue kuwa mungu mkali
2026-07-14 18:18:08
3
ismail.rajabu2
Ismail rajabu :
upo sahihi boss
2026-07-15 00:31:06
2
123maulidi12
DIZONGA :
kumjua mt zaid kaa na wat wake wakarbu
2026-07-15 08:45:43
1
user5619207908613
Rojaskessy :
kashindwa baba yetu Adam tutaweza sisi janja janja!
2026-07-15 06:21:32
1
captai451
MKADUNGA 911 :
Tambua wanaume ndio wanaweza kuvumilia vyote vibaya na vizuri kwani hakuna wanaume waliochiwa wtt na wakalea na baadae wanawake hao hugeuka kuwapa wtt sumu ya maneno mabaya sana Tambua ipo sababu ndani yake🙏
2026-07-14 23:38:45
2
k.rang7
k rang :
kabisa umeongea vzr kabisa tunaomba hili muwalinde masheikh zetu kwa namna bora ambayo makosa yao isiwe dhahri kwa kutoka nje kama haya kiongoz wetu mngeshikamana jmn
2026-07-14 19:10:17
1
user1825676315056
Ash baby :
ctaacha kumpenda sheikh walid kamwe napenda kwaajili ya allah.
2026-07-14 18:55:30
1
beatricepaulbaran
Beatrice Paul barande :
mungu atuasaidie sana
2026-07-15 15:37:54
0
user133540455684
Grace :
kabisa. kiongozi niwito
2026-07-16 07:39:53
0
msigwa2025
msigwa :
Nimependa mifano
2026-07-15 21:59:05
0
thmed2805
Salwa34019pfno. :
kubwa sana
2026-07-15 18:18:34
0
user3374918612536
mrs flani iv :
msichana mzuri manshallh but uyo shekh aonyeshi kumpenda uyo dada
2026-07-15 15:31:48
0
To see more videos from user @akismediatz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About