Mange you are brain 🧠 💯smartest. Hujagi kizembezembe .
2026-07-14 18:59:43
18
jacobapolinali :
hii nchi ngumu yaani unamfatilia mtu ambae anachangiwa hela kama sadaka za makanisan na miskitini alafu pesa za umma zinaibiwa kila kukicha ripoti za cag zipo wazi zionaonyesha ufisadi lakini wapo kimya 🤣🤣🤣
2026-07-15 06:46:01
13
Gabba RG :
very true
2026-07-14 19:25:10
5
KINGKIPIRAA :
huyu si chadema aliama Chama karudi juzi tu
2026-07-15 07:18:49
1
FADHILI ZUBERI :
Hela alizotoa nani sisi tunao toa tumekaa kimia inawahisu nini.
2026-07-14 19:05:33
8
Traore the great :
Mbn riport ya cag haichunguzwi???
2026-07-15 12:25:59
3
esther nyamhokya🥰 :
wametuchosha wanahangaika sana wanataka Nini hao
2026-07-14 19:36:24
7
Esau Watson :
kilamtu anamjuwa hilodada mang lakini hatumwachi tena tunamtaka heche apitishe michango tena chama hakinapesa tutachanga sana
2026-07-15 10:21:58
1
Pendo Hassan :
heche hoyeeeeeeee
2026-07-14 19:38:18
4
user6195599480105 :
kwani hizo hela za Serikali au wananchi?. me nadhani kama wananchi wameamua kujitoa sioni Sababu ya kupiga kelele
2026-07-15 09:56:06
2
CAR_ PARKING_ SHADE _MTALAM :
heche tunamkubali sana mwacheni apige kazi
2026-07-15 21:25:08
2
maiimaa :
sasa wanachii wanatoa mia tano mia mbili elfu moja wanamchii wala hawaiwaziii au
2026-07-14 19:25:21
3
Deborah :
Uko sahihi
2026-07-14 20:55:40
1
user1140526193750 :
ccm ni wapuuzi sanaaa
2026-07-15 11:50:56
0
Prophetess S/T :
🔥🔥Swadaktaa umenena vema maana baadhi ya viongozi wanatuonea na kudhulumu ardhi zetu, mfano ; naibu katibu mkuu ofisi ya waziri mkuu Tamisemi James Kilabuko na mkewe pamoja na tapeli Vitusy Lutambi.
2026-07-14 18:51:49
3
Aisha Habs :
heche mungu akulinde unamaadui wegi kwel
2026-07-15 11:15:49
0
prospergasperurio :
tudeal nao
2026-07-15 15:51:19
0
Adrian kazi mix :
pointi👍
2026-07-15 04:07:14
0
Seif Kabelele :
KWELI. KWELI
2026-07-15 04:56:13
0
Guramali Abbas :
CCM wameshafeli
2026-07-15 07:25:17
0
MUHOJR :
uko mbele ya mda
2026-07-15 08:58:48
0
Rehema Maduka :
point
2026-07-15 06:21:45
0
Ney 20197 :
watuambie pia wametoa kafara wangapi
2026-07-15 05:48:26
0
Ney 20197 :
Asante dada,Mungu akupe maisha marefu yenye afya
2026-07-15 05:47:35
1
user4912526236053 :
KUWENI MACHO NA SANA NA SELASINI NI KIBARAKA
2026-07-15 02:26:33
0
To see more videos from user @sauti_ya_duniatv0, please go to the Tikwm
homepage.